e-breezy ft mrtz - ukweli wa amani lyrics
chorus (mrtz)
watu wana sherekea
ukweli wa amani
watu wana sherekea
ukweli wa amani
ukweli wa amani
na wewe kila kitu kiko shwari
penzi lako upepo kama bahari
tudumu love mahabani
ukweli wa amani
na wewe kila kitu kiko shwari
penzi lako upepo kama bahari
tudumu love mahabani
verse 1 (e+breezy)
1+1=2
2+2=4
4+4+8
we gon be straight
mziki mtamu mpaka watu wana rusha roho
huu ndio mtoko
watu wamefurai mpaka wanacheza na ndo’o
substitute teacher nakupa elimu
halafu naka kimya
kuna umeme wa kutosha
tunamshukuru mungu
hatu itaji luku
hatu ishi kwa vurugu
acha kurudi nyumbani mpweke
smile kwasababu we siyo mbwege
angalau maisha yana kupiga mateke
hakuna mtu wa ku dekea
haya maji ni marefu endelea x2
kuelea
shtuka
pandisha mizuka
angalia vilivyo kuzuguka
mabadiliko yana kuja
isnt that to admire, solution of this empire
it acquire to aim higher
ndo maana bado kuna mjadala
tunam shukuru mungu, kutupatia hizi nguvu
ku ngombania hu uhuru, tuna u kusania
angalau tuna onekana wa tukutu
chorus (mrtz)
watu wana sherekea
ukweli wa amani
watu wana sherekea
ukweli wa amani
hook
ukweli wa amani
na wewe kila kitu kiko shwari
penzi lako upepo kama bahari
tudumu love mahabani
ukweli wa amani
na wewe kila kitu kiko shwari
penzi lako upepo kama bahari
tudumu love mahabani
verse 2 (e+breezy)
fanya unacho fanya
angalia usi geuke zoba
bora uwe tayari kwa vyovyote utavyona
maisha yana kuja moja kwa moja
haya kunji kona
angalau unaweza ukakutana na changa moto ulizio onywa na wajomba
ndoto zika poromoka
life is like a cafeteria
there’s alot of things to taste
there’s alot of things to waste
gotta keep up with the paste
become more fluent
know how to embrace
every evening a task closen
every morning a task open
find a way to leave the door open
so you can come back with more token
wache waseme hawajui hali
wache waseme hawajui kwamba we ni mali
wache waseme hawajui kwamba amani inaweza kuwa ghali
na ni gharama ya thamani
ya thamani x2
ya thamani x3 (singing)
Random Lyrics
- thelonelyfs - amor inmortal lyrics
- abyss above - world casket (ft. andreas bjulver of cabal) lyrics
- barbara bobak - da si nekad do bola voleo (live cover) lyrics
- киса в колесе (kitty in the wheel) - юность (acoustic) (youth) lyrics
- vincent visser - wat is er gebeurd? lyrics
- talaat zein - kaman kaman | كمان كمان lyrics
- fuerza regida - desvelado lyrics
- zwall - running in the dark lyrics
- семинар (seminar) - да! (yes!) lyrics
- bahaa sultan - tahady | تحدي lyrics