e-star nebraskah - nimefika lyrics
come nimefika am sure, kila mtu atawika huu mwaka
kwafuraha vile nimefika…….
ni nani…..? alisema jogoo la shambani haliwiki mjini
leo hii nmefika nimewika sio utani ndio maana
kila mtu yua penda kukatika
cheki poa ndani ya club vile jasho inamwagika
isopokuwa yule chali yuko pale karibu na speaker
vipi rafiki lakini mbona unazubaa na hii track ina shika
mamanzi, mabeshte wanati mababi mabeshte mabenashi
tayari wameshanipa ngota bana taadhima kwa wingi
bila shaka kama gomba from meru kenya nzima nitabamba
chorus
come nimefika na mike nimeshika
cheki mabeshte mamanzi vile wana katika
kwa furaha kwa sababu nimefika jo”
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami oh…..ooh
nimeguiya mikе ngoma imebamba, hewani imetamba
wеka akili kwenye ngoma ogopa dj
now e everybody open up your eyes as wide as you can
the time is now chaguo ni lako…..!!!!
you brothy uwapo katikati nyuma yako angalia huyo dame
dance and move towards her ukimfikia mshikilie na mkono wa kulia
kama ni beer anataka mnunulie juu ya meza mwadalie
bro tengenea sikufichi kama huna wako nyemelea
ukiona haya vogomea, nimefika kila mtu kongowea
samahani……!!!
mmeishi njaa siku nyingi toka leo hadi mwisho mko nami
hakuna kuhemea kwa hivyo teremea la sivyo chechemea….. yeah
bridge
tumekam kuparty for peace and liberty, liberty
dj hebu insert tracky tukule hepi na mabeshtee
tuki+alert mamanzi na ku+attract kila mtu kwenye dance floor
jo” nimekam kuwaroga (umekam kuwaroga)
nimekam kuwashika (umekam kuwashika)
nimekam kuwaroga (umekam kuwarogaaa) yeah
(kina nani kina nani) kina dada… tuende kinanda..
chorus
come nimefika na mike nimeshika
cheki mabeshte mamanzi vile wana katika
kwa furaha kwa sababu nimefika jo”
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami oh…..ooh
toka uko mbali songea taratibu nikupashe hii habari vile nimefika
toka juu mpaka chini nimeng’ara kama ua la waridi ukiona vya elea ujue vimeundwa
nawacheki watu wengi kwa umbali their eyes on me
shida gani cheki ann mamanzi hamsini afisini wote wanipiga darubini
kana kwamba kunae nimepiga ngeta, kwani ni wageni hawajui hapa si kangeta, ama ni vile mkononi nimeshikilia kilo mbili za kangeta
eeeh pole sana msiwe na hati hati hakuna hata mmoja nitapiga ngeta lakini nimefika na nimetoka mbali….. bila shaka nilionea kwa umbali mafuns uwanjani toka sehemu mbali mbali na wote wako pale kwa ajili ya mimi ndio maana mkononi nimeshikilia kilo mbili za kangeta in the shanta asali na vile nmefika wadhii wamekubalii….!!
chorus
come nimefika na mike nimeshika
cheki mabeshte mamanzi vile wana katika
kwa furaha kwa sababu nimefika jo”
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami
mabeshte mamanzi (yesssss)
mko tayari kucheza hizi ngoma nami oh…..ooh
Random Lyrics
- 7beazy7 - später lyrics
- reinaeiry - vices & virtues lyrics
- kidz bop kids - all around the world lyrics
- lil playah - you hate it i know! lyrics
- zzzxenohbia - love only breaks hearts lyrics
- bulli point - piers lyrics
- alias (qc) - kyra collins lyrics
- postkaid - pornstar in his prime lyrics
- black pistol fire - well wasted lyrics
- aretha franklin - bridge over troubled water (long version) lyrics