easy blac & anto k - tulia lyrics
by
anto k. & sababisha
intro:
kwa ma players mtaani(mtaani)
wenye kupenda ku hanyahanya(woah)
itabidi mtulie jo(ah,twende)
verse 0ne(anto k)
natafuta msichana mzuri awe mchumba wa maisha
lakini wasichana wazuri wamepata wachumba wakawekwa kwa nyumba aah
wale wako kijijini ni mabwege na wale wote mtaani zaidi ya mapepe
wanataka wenye gari,sifa,nyumba na mapesa mingi
na bado ukiwapa zote hawatosheki wanarandaranda aah
wana hanyahanya aa
wana route ya panya
chorus:
tulia(tulia mama)
tulia(tulia dada)
tosheka(na aliye wako)
usije ukaranda ukakosa wako ooh
tulia(tulia mama mama}
tulia(tulia dada dada)
tosheka(na aliye wako oh oh)
usikose wako ooh
verse two(sababisha)
ah,sina hata time inashangaza
fans wote wanajua nshatangaza
akidai mi nnampatia aaa
akinipa ye huzingatia juu
imekuwa ngumu kw-ngu me k-muita boo
anataka nimuite naye aje tu
na nikitaka chochote ye anipe tu
si kupenda kw-ngu itabidi niseme tu
tulia aaa(hata ka ni ya njaa ‘ma)
tosheka aaa(maisha yako utakwenda far)
hebu fikiria kama ingekuwa nyota
haungeweza kuishika(swali mboga)
s’sa jam(jam) hebu tulia ‘ma
usiwe b-tterfly wacha kupepea ‘ma
itakuwa kama ile ya dove
siku hiyo ikifika lakini kwa sasa
chorus:
verse three(anto k)
(nishapata me k-mwona mme mwenye mke zaidi ya mmoja
lakini sijamwona mke mwenye mme zaidi ya mmoja aaah-2)
tulia mama aa
tulia dada aa
na aliye wako ooh
usikose wako oh
hata fisi kwenye njia panda sababu ya tamaa alipasuka msamba ah
na wahenga wakatueleza mtaka yote siku vyote hana lake eeh
chorus:
outro:
(sababisha)
kwa mabinti streeti
wenya ma love flava
this is to you……yeah
ni mots
(anto k)
na anto k
ndani ya focus production
unaskia hii
Random Lyrics
- fa-dany - spiral infernal lyrics
- mon laferte - lo que pido lyrics
- kollegah - rr3 gegen kah-ohh-beh lyrics
- achtvier - die crowd lyrics
- mc jin - winning lyrics
- radzias - wieże do nieba lyrics
- lonepsi - plane lyrics
- berrygood - love letter lyrics
- chief boola - we 3 bb7 (demo) lyrics
- maria dolores pradera - habaneras de cdiz lyrics