azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ebebé jamal – aibu lyrics

Loading...

aibu aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu

wamefume hawatumudu
game ngumu maskoff tunadumu
bbn bongo bahati nzuri juu
bbm bongo bahati mbaya buu

wanatuzoom wanatuzoom
hatuonekani chini k+mbe tupo juu
wanahujumu wanahujumu
wanahujumu mchezo refer yupo cool

w+n+lahumu hawavuti pumzi
tukifanya yetu tunawabuguzi
kazi kazi haturushi ngumi
ngazi kwa ngazi mongi records kampuni

wanaperuzi wanaperuzi
kwenye page zao sisi ndio bad news
mtani wakombozi kwao wachokozi
chetu tukidai wanatutanulia body

aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
hahaha.!
mongi records

zamu yetu ipo live
tayari tupo online
mikataba tusign tutusue kiulaini

wako wapi wanaotamani tukosee tupigwe fine
tufulie tukose amani tupotee kwenye ramani
aya, yah tayari tupo uwanjani
aya, yah simu wamechange line

tuwapigie hawapatikani
sasa tufanyeje tuwaibukie haijulikani
wapi wanapoishi tuwazukie haiwezekani
achana nao
tukaze kamba tuendelee kupiga bao

ulinzi tunao mikuki na ngao
ushindi taswira yetu hatuchezi foul
wakikamatia chini tunadeal nao
mwaka huu wao hakuna chao

achia body kama wewe ni timu mabao
sogea pembeni wewe ni timu mshangao
achia mikono wewe ni mtafutaji town
kaa pembeni wewe ni mzururaji mtaani
sogea karibu anza kuwahesabia mafao
rudi ukasake kama hauna hata pound
kaa kushoto umemeza mbegu ya mazao
majembe yangu ndio nayoenda sawa nayo

aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu
aibu aibu aibu wanatuonea aibu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...