ebebé jamal - hacker lyrics
hacker hacker hacker hacker hacker hacker hacker hacker
mongi records
diz criss beats
huishiwi kinacho nihusu kila upitapo habari
wewe ndio msomaji ukipost mtandaoni hakuna amani
embu samahani , nipe chance nifanye ninayostahili
heshima yangu usiivunje nyumbani wazazi wananiamini
mipango ya kunigombanisha page umeidesign
blog hadi website upo ladhi ulipie nipigwe faini, shuwaini
emenihack , password kakupa nani?
unapost matusi nikipita mtaani naonekana shuwaini
ok.! nikikunyaka adhabu unayostahili ni zaidi ya ugaidi
muziki siachi najua unanifanyia visa ili nighaili
usiku silali naandika mistari
ionekane dhahili kutusua nimepiga sign
game naimudu hata wanifanyie vurugu ama wanihujumu
hapa kazi tu, mpaka waseme nina gugu
wakinidis nageuka bubu, nawatembezea dudu
mtoto yake nepi, uh.! sanchoka yake nundu wow.!
hacker hacker hacker hacker “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
kaa sikiliza huu waraka “hacker”
hapa somo utalipata “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
kaa sikiliza huu waraka “hacker”
hapa somo utalipata “hacker”
haters ingia kapuni
hauna mpango mbinu un+z+buni against me
failures, toka ubavuni
hauna mpango mbinu un+z+buni agaisnt me
hacker hacker hacker hacker “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
kaa sikiliza huu waraka “hacker”
hapa somo utalipata “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
hacker hacker hacker hacker “hacker”
kaa sikiliza huu waraka “hacker”
hapa somo utalipata “hacker”
najiulizaga ivi kwanini niue sisimizi kwa nyundo
ila inanibidi because mmezidi kunipakazia uvundo
story zinazonihusu kwa store zenu zipo rundo
na hii sauti itagonga mbali hata uuifunikie kwa nyungo
kawape wenzako habari wakubali kuwa mi ni hodari
mvuna asali bila nyavu na kama sij+pata silali
mkosesha amani wa vijino pembe mtaani
muajiri wa makarani wa siri bora ujihami you failure
hesabu inayowahusu ipo mezani
na nikianza kuwateketeza siachi mabaki yenu hasirani
nyanyueni nyuso muone nyota ya ebebé angani
na hakuna wa kuweza izima labda aamue manani
alienileta dudiani ndio ataenitoa uwanjani
laa sivyo jaburani gambani mtaenda kuokotea kimyani
kusema siwezekani ndio kilichowakwama kinywani
kusimama nitapo dondoka ndio ndoto zenu kichwani hah.!
Random Lyrics
- aljimen3z - ayy macarena lyrics
- sarah nathalié - with him lyrics
- ipantellas - divano marittima lyrics
- maaya sakamoto - eternal return lyrics
- lil supa' - fe lyrics
- tthejof - amigos lyrics
- nerdofficial - simulation lyrics
- gaea labelle - okay! i'm reloaded (business talk) lyrics
- joov - i can't live here anymore lyrics
- paul frees & the mellow men - the money cat lyrics