azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

eddy bleyz - marafiki lyrics

Loading...

[intro]

instrumental playing…

[chorus]

sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi

[verse 1]

jua likich0m+za ingia chaka
saka pesa
night tusake chimbo
mwendo wa glass, ni kukesha

oya we ni ubad
mwendo wa gambe bila idadi
tukishakunywa maji
yaani hatuelewi

tunaruka aeeeh!!
kama unamoka, umoke
kama unadanga, lidange
mwendo wa majoka ni pambe
hakuna kuchoka tuimbe
[instrumental break]

[chorus]

sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi

sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi

[verse 2]

nachokipata
nagawana na wenzangu
maskini zaidi yangu
wenye shida kama zangu

oya waiter, shusha bapa
kisha bili leta hapa
eeeeh!!
kinamna eeeh!!

tujitafute tutajipata
sakanya kila chimbo, kila chaka
mbona swadata
naimani tutapata

huu mwaka hautopita
majumba mengi, magari mengi
kila mtu atashika

mi nataka tufurahi, tujidai
kwa manyama, machipsi, divai
leo bata, tuko vibe
watu wote wamelewa hawafai

tilalila, tilali
tilalila, chakari
tilalila, tilali
tilalila!!

[chorus]

sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi
sisi ni marafiki
tumepitia dhiki
hatupendi unafiki
yauzushi maushuzi
si tupige miluzi

[outro]

instrumental playing…



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...