edward's okoth bryan (ethan muziki) - niangalie lyrics
aah
aah
aah
aah (mmh, mmh)
[verse 1] [kethan & wanavokali]
kuna wenye vitabu
kuna wenye hesabu
wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
kwa yale machache najivunia
moja ni kukuita w+ngu, ooh+ooh
wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
ila wewe umenionyesha, ninaweza kupendwa
na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
ona vile tunaishi hii life bila pressure
[pre+chorus] [wanavokali]
kama unataka, penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo+kuona, naona maisha
niangalie, niangalie
[chorus] [kethan & wanavokali]
nia+ nia+, nia+ nia+
niangalie, niangalie
nia+ nia+, nia+ nia+
niangalie, niangalie (niangalie)
[verse 2] [kethan & wanavokali]
we wa thamani kuliko shaba
ningetamani nikuite lover
hakuna jambo linaloweza
kunitеnganisha na penzi lako
unachotaka umekipata
utapokwenda nitakufuata
i will always bе yours
you will always be mine
till the end of time
[bridge] [wanavokali]
na+aah+aah+aah+aah, nakupenda
na+aah+aah+aah+aah, nakupenda
[pre+chorus] [kethan & wanavokali]
kama unataka penzi lisiloisha
niangalie, niangalie
mi ninapo+kuona, naona maisha
niangalie, niangalie
[chorus] [wanavokali]
nia+, nia+ (aah+aah+aah+aah)
ooh niangalie, niangalie
nia+, nia+, ooh (nia+ nia+, aah+aah+aah+aah)
niangalie (aah, nakupenda)
Random Lyrics
- shiv-r - alpha omega lyrics
- blckk - dying in la lyrics
- hao19 - love cruise lyrics
- de0nis2011 - влага (wet) lyrics
- tt (prt) - entra no meu club lyrics
- the silent love - depression lyrics
- thomas o. - paper plane lyrics
- tonybear - dance this night away lyrics
- djadja & dinaz - charbonner lyrics
- drewmatic - tell me the truth lyrics