eko dydda - amen lyrics
…
amen
hahaha haaaaaa
na wake up every morning na breathe fresh air
nina yesu moyoni atanitetea
macho men hawaoni wanaona mistake there
hadi penye sioni atani+take there
korokocho ni ya yesu (amen)
hii kibera ni ya yesu(amen)
hii kayole ni ya yesu(amen)
hii mathare ni ya yesu(amen)
money..money make man mad
money..money make man mad(haha)
na go crazy for christ
na go crazy for christ
niko ashamed of the gospel sahi
buda sita hide anything
pole afande leo sina id
jesus is my i..dentity(aah ah)
umenipa life in abundance
kaa chakula nai+vas(aah ah)
na express venye christ amenibamba
acha nianze nai+verse
sipendi vitabu but watu washow wamenibook
sipendi vitabu but kaa ni bible nipe book
utanipata niko luke mavazi nimedunga look
nacheki yesu buda focus on jesus ndiye look(aah ah)
mwanariadha siko mashindano(aah ah)
me si doctor siko mashindano
kama solomon kama solomon kama solomon
me nadai tuishingi right
siko solo boy siko solo boy siko solo boy
me nadai tuishi in christ
na wakeup in the morning na breathe fresh air(turn up)
nina yesu moyoni tanitetea(turn up)
macho men hawaoni wanaona mistake there
hadi penye sioni atani+take there
hii dandora ni ya yesu (amen)
hii huruma ni ya yesu(amen)
baba ndogo ni ya yesu (amen)
kaw+ngware ni ya yesu (amen)
veve naweka kando sitachana
naweka kando za jana
naweka kando wasichana
naweka kando mastunners
focus+on+jesus+hapo+ndio+me naweka eye ball
napenda ball+mbili+buda n+z+ita bi+ble
nina gideons sita+buy+ball
nakupenda kuruka kuruka ki masai mall
nasema na..niko mafichoni na..chini ya mwamba nina
mbele ya yesu nita bow bow bow (bow)
pale juu pale juu
utabaki pale juu pale juu(hahaha)
shetani too bad(hahaha)
too bad
nyonde mbili (two birds)
mbaya mbili(haha)
kwa yesu me napata ra! life smooth
kama kipara
amenishika kaa origi
amenishika kama kipara(ra ra)
na wake up in the morning na breathe fresh air
nina yesu moyoni tanitetea
macho men hawaoni wanaona mistake there
hadi penye sioni atani+take there
hii dandora ni ya yesu (amen)
hii huruma ni ya yesu(amen)
baba dogo ni ya yesu (amen)
kaw+ngware ni ya yesu(amen)
hata nakuru hata mombasa
hata kisumu eldoret(hahaha)
na ever recharging (hahahaha) (haha)
kisii (turn up) (hahaha)
kenya yote ni ya yesu
africa ni ya yesu
dunia mzima
Random Lyrics
- summer alone - purgatory lyrics
- mc bangu - tiranossauro lyrics
- domtricks - trusted lyrics
- elijvh - lady luck lyrics
- g.zsolti & bongor - very big lyrics
- uglyface - please be cautious ep2 lyrics
- lil nas x - sunami (demo) lyrics
- vtp rossa - by your side lyrics
- felipe mc - tucaca lyrics
- 9biuu - haine+désespoir lyrics