eliabu de king - mboka lyrics
yea! its eliabu feat hydra king
mboka yea yea yea yea yea
kadaily ng’ang’ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
we working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa

warazi ndo tulichorea na tangu tuapishwe tuna make ganji
unataka niangusha na we si holy spirit mahater nishavishwa taji
mliforce talanta msha copy drill mamorio hamna kipaji
nawaosha kwa verse collabo ama single tulia wachеni utiaji
chuki ka mama wa kambo sitaki, ukinidis matusi siwachi nilichoranga maverse ka thirty ukileta nalеta heshimu ma chaji
kwanza jifunze kudrip kung’ara
ndo atleast upate ata sara
piga ngasha wacha kuparara na usare luku za okala
ukijam nitoe kafara mi nina god my niccur utahara
daily narap naunda mshahara
wewe utabaki utabaki ukilala
jichoche jichoche umek!ll verse na hata kwa show hauna mafans
iyo ni nini joh kama si curse
daro ya madandaa na uwezi ata pass
kadaily ng’ang’ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
we working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
kadaily ng’ang’ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
we working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
hydra naroga kwa beat ya drill
am trying the best na flow ntak!ll
na connect eliabu ni k+mi si nil
from kanairo to kisii marapper mtatii
sidai kupoteza topic juu nikianza lazima m+copy
so it’s mboka mboka ni kazi
wera ni hustle itaki watiaji
tulisare sidika na huddah juu walipenda vako za mabuda
tuko kwa street tunasaka ganji ndo at least tupate wasupa wasuba
nikiomoka nasare ma uber mziki talanta nitoa madoba
fikra kwa mongo zi ukua kuomoka nitembee na maganji kwanza kwa mkoba
kazi ni kazi kwa yuts si hatujali hatutaki kusota
bora nidrip nikule nisip mi niko fiti i gat the tips
nipate kwa zabe ya jaba niko maveve na pia mogoka
after ka mboka joh nik+medi na mamorio tunapiga mambota
kadaily ng’ang’ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
we working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
kadaily ng’ang’ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
we working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
Random Lyrics
- raween kanishka, upeka nirmani - kathawo sinawo lyrics
- qdeevee - wake & bake lyrics
- chiloo - genèse lyrics
- umsy - последние деньги были (the last money was) lyrics
- bill haley & his comets - rock around the clock (1960) lyrics
- patrycja mołczanow - candy lyrics
- seth gueko - last poètes lyrics
- josh dally - speak your mind lyrics
- bear mccreary - you're a mean one, mr. nerd lyrics
- 八王子p x ギガ (hachioji-p & giga) - gimme×gimme lyrics