elja eks - watakuumiza lyrics
Loading...
ozay b+tch
ice sengen
watch gang. watch young gang
[verse 1: ice sengen]
unaye mwamini anaweza kukuacha
unaye mpenda anaweza kukuacha
maisha ni siri hakuna waku yelewa
ila ninachotaka tu kukwambia
we pambana utafika kwenye ndoto
utafika kwenye ndoto
kuna wakati watu
[bridge]
watakuumiza x8
[verse 2: elja]
ngoja kwanza. jiangalie
so kila kikaacho ni dhahabu
unao wapenda wawo awakupendi
unao watakia mazuri wawo ni mabaya tu
ya layali ya layala
wanatamani sana
kukufanizia mabaya tu
furaha yao nikukuona we uteseke
furaha yao wawo walele
[bridge]
watakuumiza x8
Random Lyrics
- lorexxx - glock lyrics
- fvn - new hobby lyrics
- tj maestro - live it up lyrics
- hologramme - animal lyrics
- yg teck - a list lyrics
- syk - cold as ice lyrics
- kill bill: the rapper - no chill [backwoods demo - 2014] lyrics
- onlyup - tati lyrics
- king south g - 닥쳐썅년아 free stlye (shut up bitch freestyle) lyrics
- ymir - fimbulvetr lyrics