enock bella - chukua lyrics
kidawa kaja kwetu nimpe jogoo
namwone huruma bado dogo
hana uzito wakubeba gogo
+n+leta ubishi yani zogo
anawatibua walio lala (lala)
haka katoto kana masihara (hara)
jogoo anakiu week hajala (hajala)
anatania wanyoa viparaa
(bridge)
kidawa kani ng’ang’ania ngania
hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
anaonekana kapaniaa paniaa mbona kaja usiku
(chorus)
chukua ukimuona
chukua papasa hadi kwenye kona
chukua ukimuona
chukua tazama yule aliye nona
chukua ukimuona
chukua inama hadi uvunguni
chukua ukimuona
chukua mpaka mabanda ya uwani
(verse 2)
kidawa hivi unajua kufuga
au unataka tu k+mvuruga
nabibi yako kwakupenda mboga
hatochelewa k+mla na boga
hodari wakuamsha morning (mapema)
wakati bado yuko bandani (akihema)
hajawahi kufumwa ugonii (akadema)
so mchunge wasije k+muibaa
(bridge)
kidawa kani ng’ang’ania ngania
hadi aende na kuku (hadi aende na kuku)
anaonekana kapaniaa paniaa mbona kaja usiku
(chorus)
chukua ukimuona
chukua papasa hadi kwenye kona
chukua ukimuona
chukua tazama yule aliye nona
chukua ukimuona
chukua inama hadi uvunguni
chukua ukimuona
chukua mpaka mabanda ya uwani
(outro)
usije ukafanya vimbw+nga (ukaniletea utotoo ukaniletea)
ukampea mganga
mara kabebwa na kipanga
wakati kafungwa kamba
sitaki utani
(
chorus)
chukua ukimuona
(ukanilеa utotoo ukaniletea) (ukanilea utotoo ukanilеtea )
(ukaniletea utoto ukaniletea )
chukua papasa hadi kwenye kona
chukua ukimuona
chukua tazama yule aliye nona
chukua ukimuona
chukua inama hadi uvunguni
chukua ukimuona
chukua mpaka mabanda ya uwani
chukua
Random Lyrics
- krybaby - charm lyrics
- 100 gecs - ringtone (demo) lyrics
- let's talk - purpose lyrics
- marika hackman - jupiter 4 lyrics
- denise lopez - all i want 4 xmas is your love lyrics
- redmoon - google lyrics
- young spi - savage lyrics
- kartoons - l'inferno è qui lyrics
- corizo - inside life lyrics
- thiago juraski - eternos amantes lyrics