azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

eric maingi - maisha ni safari lyrics

Loading...

maisha ni safari
kuna wakati wa kuvuna na wakati wa kusali
hali mbalimbali kwa kila mtu duniani
wengine wenye mali safi
wengine majambazi
wengine wa mihadarati
wengine wa kupanda na kushuka ngazi

maisha ni safari
waweza k+mpata mpenzi mwenye hakutaki
waweza kufuata ndoto marekani
uwe daktari au rubani
wakukopa marafiki na majirani
utangaze muijiza barabarani

ooh maisha ni safari
kila mtu amaberikiwa na kibali
utabaki kushangaa kwenye rambirambi
machozi na balaa ya kutenda dhambi
maneno ya kutisha kama risasi, na
viongozi wa kushiba kwenye rasilimali

maisha ni safari
kuzeeka na kuenda kasi
utamaduni kuitupilia mbali
kuiba matokeo ya uchaguzi
elimu ya kifaa na vyeti vya kifahari
huruma kutokana na kuwa mzazi
mitandao ya ushindani kama virusi
maisha ni safari
maisha ni safari
maisha ni safari
maisha ni safari

kutoka chini mpaka juu
yote ni safari
kutoka kushoto hadi kulia
yote ni safari
tunazunguka gurudumu la maisha
na yote ni safari
eeh maisha ni safari
maisha ni safari



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...