azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ethan muziki - uko poa lyrics

Loading...

uko poa lyrics
[hook]
labda unafikiri uko poa saa hii
eti vile hauko na mi
sikutaka kukueka chini
ningekupa kula kitu wee

[verse 1]
i did not believe that it would end no
nilifikiri yetu special
you’re not even talking to my friends though
mbona kila saa ni kama tunawachana

day ya kwanza kuna fire kila time na
siku hizi kukuona kuna line
used to keep my picture posted by your bedside
now it’s in your dressed with the socks you don’t like
[pre+hook]
sijafika mahali ntakuacha kwani
ningelipa mahari ulishaniwai
nakujulia hali kunilenga haifai
na nimeona

[hook]
labda unafikiri uko poa saa hii
eti vile hauko na mi
sikutaka kukueka chini
ningekupa kula kitu wee

[verse 2]
na mimi nataka tu kukuona
siku zimepita lakini ninakuota
tell me is there something inside the water
ama hizi ni mashetani zinanifwata

na juzi mama fua uliza
uko wapi kwani nilikukimbiza
juu shati zako tena hazionеkani
nikadanganya uko shule amerekani

[pre+hook]
sijafika mahali ntakuacha kwani
ningеlipa mahari ulishaniwai
nakujulia hali kunilenga haifai
na nimeona
[hook]
labda unafikiri uko poa saa hii
eti vile hauko na mi
sikutaka kukueka chini
ningekupa kula kitu wee

[coda]
hau…vile hauko na mi’
ningekupa kila kitu



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...