azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ethic entertainment - biz ni biz lyrics

Loading...

tufungue biz, tufungue hoteli
tufungue wines ama tufungue mpepe
ama twende wathii tushike mamali
alafu twende tuuze area za mababi
tushike stock tuuze mangwai
rada ikiwa chafu tusare kuzingati
ama tuuze cladi, 3d mashati
ama tubuy senke ikue ya kubeba
ama tubuy mat tuzange maraundi
ama tubuy senke ikue ya kubeba
ama tuuze duya esasi na moli
ama buy doggy tuteke mapuppy

bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
umebonda ni ka dem wa mpesa
ukidunga kuna vilе we hutesa
wacha kwanza kazi tufunge mapеma
tupitie mrambe tupige kama chaser
mguu zote za left jo, punguza malejo
ati unanihate babe i can be your mental
na siwezi kulet go labda nisare lejo
na nikifika late jo, we hujam
nikishika ngaji mob we hukam
baby si univulia we hunikalia
nataka unishow which way tutapitia
nataka unishow which way tutapitia
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
mi utanipata kwa baze ya vibanda za maggy
nikishikisha mamanzi mapanty
alafu nikimbilie maluku za mabrathe
aisee fika bei unapendaga kubargain
buy tatu nikuongeze moja
ngoja leo usiniambie bana ati umesota
nakujua unapendaga kukopa oya naogopanga kurudi ocha
mbaya mbaya naogopa kusota so siwezi lala
ukidai lebo ficha kipara
kam kwa duka tutanego hatuwezi kosana
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
napiga biz ka msap, mhindi na mwarab
faida ni a must na avoid to ma loss
i be my own boss so hadi naweza floss
ni biz hadi ndani si kitu mi naforce
siku hizi kufuata ganji
ngumu kufanya chores
nakaa kusaka kazi nadai ya kanjo
kosa kulipa tax, unisaidiange rob
++ napiga ma research
ukinipata across naincrease ma supply
demand nikisize so wasee biz wise
unaeza ni advice niko sure siwezi burnt..
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
shughli ni shugli ka jo imejipa
bizz ni bizz ka jo imejipa
mboka ni mboka ka jo imejipa
unadeal na dollar ama unadeal na euro
unadeal na pound ama unadeal na bitcoin
unadeal na dollar ama unadeal na euro
unadeal na pound ama unadeal na bitcoin



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...