azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ethic entertainment - fanya lyrics

Loading...

cheki baby uko juu sana
admission ni ka newcomer
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
ye ni newcomer mode amemweka deski
ni siku ya kwanza na ashakuwa bestie
niko jo kwa lesson na ananiguza deki
wiki haijaisha ako kw+ngu amebleki
tukuwa close kama putha na ukuta
nnje kuna njeve we unacheza na mafuta
naеza kuwa kidale na kesho upate shuksha
hivo kila siku huwеzi kuwa same

mi hukaa nina kichaa after kuona figa
kwanza hapo ndani ya buibui
afande ka ni diva na amebeba silaha
mi haki ya nani hainistui
siezi hadi jo deny
nakuja ka unanidai
shida ni nyumba siijui
rapper na anajidai
rapper nakuibia rhyme
mbona ju mi ni mrui
cheki baby uko juu sana
admission tu ka ya newcomer
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
nakupenda penda sana tena times 2
hio figa ndani ya buibui ina ni whoo
ata ukibebanga grenade bado inani ni who
umeumbwa ukaumbika design ya kidungi
bila pesa niko insecure
baby hadi mtu wa mtura namshukungu daily
no wonder utanipata pata nakopa daily
ndo nikubambe, baby ndo nikubambe
baby ndo nikubambe
cheki baby uko juu sana
admission tu ka ya newcomer
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
come uone venye mi hufanya
na ka jo ni kupenda mara few sana
come uone venye mi hufanya
sina sheng ya msichana
una udranya gani inabamba
yangu ni ndranya
leta utoto nijigeuze fafa
nikubuyie pamper na nilete
jua kijana anaweza kuwa msichana
usiite wavulana pekee mavijana
nakia birthcert unawekewa na matha
na unajidai gangster



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...