ethic entertainment - maji maji lyrics
[chorus: rekless]
ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah
maji maji aah
zikishuka naona mi sijali sijali aah
sijali ja
cheki cheki ukinikata naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
ukinikata naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
[verse 1: seska]
unaleta nguna dunda na haujakafunga
mi nakuchunia huyo nguna nafumba nadunga
akitekwa na kabuda anachezewa rhumba
baadae akule maspamo zimekuwa unga
umeumbwa umeumbwa
kama goks imefika sai mi huipepeta
kwa nyumba na d-ld- nadeveva
ju nimestunya kuliko ile imebebwa
[chorus: rekless]
kata chwa niko maji maji aah
maji maji aah
zikishuka naona mi sijali sijali aah
sijali ja
ukinikata naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
ukinikata naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
[verse 2: swat]
nakatakata dania naseti kwa kinyaru
kachumbari raru ukimanga kina nyambu
naenda fisa fisa kipara kama budha
thutha nyuma shika ukuta
tingiza maduba mdogo mdogo sina pupa
hadi che aluta mercy njeri tu nutha
kukata kutaka kukataa tu kwa bukla
bukla bukla bukla
[chorus: rekless]
ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah
maji maji aah
zikishuka naona mi sijali sijali aah
sijali ja
ukinitaka naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
ukinitaka naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
[verse 3: zilla]
msupa pika nikam kwako
nikule pizza ndondo na mbosho
mi ndo hukinda jaba kwa mkoko
na hii chuma lazma iland kwako
mi ni dinda nyang’anya ndondoka
dididinda na nduve kwa ukuta
na matinda na kiondo ni mogoka
na matinda na kiondo ni mogoka
[chorus: rekless]
ukinitaka na nimekata jua niko maji maji aah
maji maji aah
zikishuka naona mi sijali sijali aah
sijali ja
ukinitaka naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
ukinitaka naona mi staki taki aah
sitaki sitaki aah
Random Lyrics
- coyote theory - sun also rises lyrics
- vyruss x - ggi lyrics
- construct paradise - lucid dream lyrics
- jin (bts) - mom cover (hangul) lyrics
- jayhood - blurry vision lyrics
- add-2 - mama said skit lyrics
- cheer-accident - you never bothered to know me lyrics
- ron mac 11 - just listen lyrics
- kaiyko - these nights lyrics
- citation sounds - pound cake (feat. art morera) lyrics