expluswhy - mbota lyrics
(intro)
its been a longtime na mafans huku nje wameitana
expluswhy
(verse 1)
its been a longtime na mafans huku nje wameitana
nimekam joh back to back
juu najua lyrically niko blessed inshallah
mbang’a si alikang’wa
shots kwa scene si ilikuwa ni drama
beef kwa streets imeleta lawama
story za mbang’a ata hessy alikang’wa
hold up, hio ni intro ngojaa
ngeus wako ataleft ukisota
wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier
nimejam kwa hii track design ya kanye west hizi bars ziko mad
new kid lyrically spoilt but still edible joh nyi msha expire eeih
murder everyone,king von alikang’wa inshallah (kang’waa)
back then tuli buy shada sai tuko large scale tun+z+pandaga
niko dripped ma ice si ni ma ngoto eeih mi hupenda ma ngeus wana utoto
last time nili cut off dem ali try kunichomea mboto
nima cash aah..i don’t do chеcks ni ufala
nimehepa mambang’a wee ni rookie plus nikistеp matanga tunakuzika
aah nimejipin ndeng’a plus try kuni diss utagenya
nyi ni ma fans na bado ma mbleina
hii ngoma mta hate na bado mtapenda
fans in denial og ashasema
niko kejani na ngeus anahema juu ni lipunda anakemba
off course nilimteka kwa kesha
lyrically blessed mi hu spit bila stress
niki step kwa booth joh producer asha tense
nina rep my crew affiliation blue
kina lowki the great, tuko kigeng mabazuu
gang signs ma youth, tuko na ngori na mambaru
leta ngori kwa crew, ukuwe topic kwa news
mi ni fire kwa booth, uliza hobby bazuu
ka una ngori bazuu niko na moshi bazuu
hii ni ya warazi,ka wee ni mrazi
itoka ina spark joh warazi wanabaki
warazi mafala ndio huteka walami
tuko mangwai, tuko makali
mi ndio nliteka ule ngeus wa jirani
nipate kwa bash niki supply mabangi
contrabands zote nimeseti kwa parking
badder than them joh hii ngoma si ni kali
(outro)
hio ni intro ngojaa, ngeus wako ataleft ukisotaa
wrist ni mambota, look minapiga ni diriba niko icy kama glacier aah
mbang’a si alikang’wa
shots kwa scene si ilikuwa ni drama
beef kwa streets imeleta lawama
story za mbang’a ata hessy alikang’wa
hold up..hio ni intro ngojaa
ngeus wako ata left ukisotaa
ukisota
Random Lyrics
- orchid (uk) - nothing lyrics
- mark eitzel - hells angels lyrics
- roniit - tomorrow lyrics
- my little airport - 一六八 (168) lyrics
- omxri - finish me lyrics
- fluzi - asfaltrøyk lyrics
- us3rn4mee - up all night lyrics
- norfolk jubilee quartet - sit down sit down i can't sit down lyrics
- janno gibbs - haven't stopped loving you lyrics
- hanna haas - a way lyrics