ezzy skillz - sio mwizi lyrics
intro
smart joh …
(kelele za kikundi cha watu)
desekepi music
chorus
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…
kamata mwizi bab,
yeeh… yeeh…, yeeh, (yeeh)
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…,
verse i
mtaani hapa me ni mgeni, (yeh)
naomba nisikilizeni, (yeh)
huyu mtoto kweli mkali lakini sikuwaza ka kilingeni, (what!)
walihisi nimedata,
nguo zangu zimechakaa
nachokisaka ni pesa cha ajabu bado sijaeza zipata
nlichowaza ni k+mpata
chocho kwa chocho ntamfata
nlihisi ningemwita,,angesita na huu muonekano angenata
nilimwambia sorry
naomba nkuulize swale…
naomba nkuulize unaitwa nani,,
unaishi wapi showry
hakunijibu akaanza kimbia
nahisi alijishtukia, (d+mn)
huku anapiga kelele za mwizi raia wakaniungashia, (ooh sh+t)
wana kona pale pale hawakutaka hata waniskie, (eey)
mchawi si bolt nikakiwasha uhai w+ng nikimbilie
chorus
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…
kamata mwizi bab,
yeeh… yeeh…, yeeh, (yeeh)
kamata mwizi bab,
kamata… kamata…,
verse ii
skia mchumba…
sina vumba…
na nayumba oya
nguo mitumba…
bila jumba…
unanchukulia poa
hustling till morning ey ey…
and bout work i’m all in ey yeah…
if you do wish kuwa around me
make surе that yo a real one
so don’t wish kuwa around me
na unajijua you not rеal one
nkiwa nyumbani
wanauliza kijana namna gani na..
wakiniona mtaani
wanauliza nafanya kazi gani, woah please
chorus
me sio mwizi bab,
yeeh… yeeh…
me sio mwizi bab,
yeeh… yeeh..,
me sio mwizi bab,
yeeh… yeeh…, yeeh, (yeeh)
me sio mwizi bab,
yeeh… yeeh…
autro
mzee: (anasafisha koo kwanza)
mzee mwenzangu bwana..
huyu kijana namuona ona mtaani…
mshua: (aaagh)
tatizo vijana wa sikuhizi
hamna kitu kichwani…,
kijana: nshua usipende kunzarau mwenzako
huyu kasoma sema ajira hamna
(te quiero mucho)
written by ezzy sk!llz
©2020 tanzania
Random Lyrics
- pomplamoose - everybody wants to rule the world lyrics
- psychotic youth - detention lyrics
- loveless (col.) - daisy lyrics
- morgan reese - pretty boy! lyrics
- flawes - this could be real lyrics
- kofi - scarborough lyrics
- pyrxciter - manhunt lyrics
- bt - feed the monster (blue stahli remix) lyrics
- ברי סחרוף - ad chlot - עד כלות - berry sakharof lyrics
- elixir inc - keep it up lyrics