azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ephraim sekeleti – uniongoze lyrics

Loading...

uniongoze na huruma zako
usipo nibariki siwezi enda
minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda

minajuwa bila nguvu zako siwezi kuenda
kwa mkono wako kweli umenibariki, ih, ih
kwa mkkono wako kweli umenibariki (2)

(baraka zako)
baraka zako ziwe na mimi,
mapenzi yako yawe na mimi,
namacho yako yawe na mimi
kwa mukono wako kweli umenibariki, kwa mukono wako kweli umenibariki

ulinichagua kabla sijazaliwa
ukanichagua nabii wa mataifa yo
utaninitangulia siatogopa chochotex2

baraka zako ziwe na mimi,
mapenzi yako yawe na mimi,
namacho yako yawe na mimi
kwa mukono wako kweli umenibariki, kwa mukono wako kweli umenibariki

tembea nami ee bwana
tembea nami baba yoo



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...