faith mbugua - bwana umeinuliwa lyrics
bwana, umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi
bwana, umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x2
maserafi, wako mbele zako mungu, uuh,
wazikabithi, heshima zako mbele zako
w-n-lia, mtakatifu ni wewe mungu, uuh
mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu
bwana, umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x2
makerubi, pia wako mbele zako, ooh, hata nao,
wazikabithi heshima zao
wan-z-vua, taji zao za dhahabu, uuh wakiinama,
mtakatifu ni wewe mungu.
bwana, umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x2
wazee wale ishirini na wanne, eeh, hata nao
wazikabidhi heshima zao,
wanainama, mtakatifu ni wewe mungu, uuh,
mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu.
bwana, umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x2
viumbe wale walio hai, iih, hata nao wazikabithi
heshima zao.
wapeperusha, mabawa yao mbele zako, ooh,
wajifunika, mtakatifu ni wewe mungu
bwana, umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x2
nafsi yangu, naiinua mbele zako, ooh,
naungamana, na hilo jeshi la mbinguni,
mataifa yote nayo yajue, eeh, ya kwamba wewe,
wewe mungu ni mtakatifu
bwana, umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha
enzi x3
Random Lyrics
- wave church royal youth - open heaven lyrics
- facekché - marcher dans le noir lyrics
- dester - dystans lyrics
- papii watta feat. bissou bee - walabok lyrics
- randy vanwarmer - hanging on to heaven lyrics
- lauresha feat. endri & stefi prifti - bang bang lyrics
- key rhyme - alone lyrics
- cast of falsettos - 36. another miracle of judaism lyrics
- tatwaffe - kingz lyrics
- jimmy barz - supreme lyrics