fauz noir - siji lyrics
aaaah mpenziiii, naja nyumbani, nipe dakika mbili, lakini ngoja aaaah ngoja ngoja, mbona wanitosha, basi siji home, leo skuji home, basi siji home, basi basiii
intro
pewa matembezi tot by tot baby si mind bora mi ni fly siwezi matembezi mpaka job, basi kurewind yale yote ulosema, bado engeza mpenzi siwezi elewa, bado ninanuna, bado mie nask-ma cv yangu nyuuuma, fikira ndoto kulia kushoto
verse 1
sitaki kwenda home, sitaki kuzubaa,siwezi enda home,siwezi kulala ndio maana mafegi mzinga niweze kudoro nkikusoro sitaki kwenda home ,sitaki kuzubaa,siwezi enda home,siwezi kulala ndio maana mafegi mzinga niweze kudoro nkikusoro
verse 2
waniambia rudi nyumbani (fauz rudi nyumbani) turejee tusibishane (uuu tusikizane) na we (na wee) kipendacho moyo si dawa ingawa bado ninanuna bado mie nask-ma cv yangu nyuma, fikira ndoto kulia kushoto
chorus
sitaki kwenda home, sitaki kuzubaa, siwezi enda home, siwezi kulala, ndio maana mafegi mzinga niweze kudoro nkikusoro sitaki kwenda home, sitaki kuzubaa, siwezi enda home, siwezi kulala ndio maana mafegi mzinga niweze kudoro nkikusoro
bridge
liddos k-mejaaa macho yatazama nikitaka kusahau macho yako ya matanga warembo ni wengi na bado ni wewe nimekreki liddos k-mejaaa macho yatazama nikitaka kusahau macho yako ya matanga warembo ni wengi na bado ni wewe nimekreki
staki kwenda home staki kwenda home sitaki kuzubaa,siwezi enda home,siwezi kulala, ndio maana mafegi mzinga niweze kudoro nkikusoro sitaki kwenda home
Random Lyrics
- giggs - who's dat? lyrics
- masta drag - killaz from da darkside lyrics
- ameritz - got my mind set on you (in the style of george harrison) lyrics
- the slight [it] - ti amo means i love u lyrics
- cswalo - phanda lyrics
- ace martin - 2 times lyrics
- aytee - vs. diverse [8tel-finale jbb 2014] rr lyrics
- max herzberg - urin utan lyrics
- don patricio - otra lluvia lyrics
- testodan - ten test lyrics