femi one - d-day lyrics
kuna form basi si tufike
tusifike mapema ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kesho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
mimi na masela tunacelebrate
sape kwa kibeti nikama ni benki
olunga kuball si vako ni messi
na sitaki fom ka shangwe haileti
oya, waiter cheza ka wewe si uitishe upewe
itisha mzinga si uimimine ulewe
na kama huna ndai oya ita cab bana
don’t drink and drive usikam sana
leo ni parte after parte
akitaka mate apakatwe
marinate after mpata kwake
na kama ye ni thirsty mi ni jipate
kuna form basi si tufike
tusifike mapema ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kеsho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
kuna form basi si tufike
tusifike mapеma ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kesho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
bossy, sema kidosi
kama ni ganji na maji we hunikosi
si tuko huku na huku kama majonzi
kama we ni hater apana leta mikosi
sitaki mchele wapi pekelee
rende yangu ngori kanaweza nuka
pimisha kilo tatu na uwekelee
halafu kachumbari na usipime unga
dj si uspin ka kwa bakery, mmh ka kwa bakery
na ma wanabee wana mmh kama fakery
mmh wana fakery mmh kama fekery
dj si uspin kama vile pale bakery
kuna form basi si tufike
tusifike mapema ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kesho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
kuna form basi si tufike
tusifike mapema ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kesho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
bossy, sema kidosi
kama ni ganji na maji we hunikosi
si tuko huku na huku kama majonzi
kama we ni hater apana leta mikosi
kuna form basi si tufike
tusifike mapema ndio tusipike
sidhani ka nitalala si kesho ni d+day
ju nikipitwa na fom hakunanga replay
Random Lyrics
- vincint - take me home lyrics
- 713avo amor - en el país de los sueños lyrics
- gejoy - у микрофона (at the microphone) lyrics
- anubis - desolate lyrics
- trapkidtrapplu - она хочет3 (unrelease) lyrics
- fish narc - give up lyrics
- linda's electronic orchestra - dustbowl lyrics
- quartetto cetra - django lyrics
- specy men - intro (insortables) lyrics
- orion sisters - friends lyrics