azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fid q - hey lord lyrics

Loading...

[chorus: mzungu kichaa]
hey lord, hear my plea
i’m living on the streets, ‘i have nothing to eat
hey lord, what shall i do
do i become a hard+core gangster
or get the job sweeping the streets
the richest man i see (?) right infront of me
will i find joy and happiness
in hustling and thuggery
i want to build a palace ‘and marry my princess
you got to give guidance
’cause my patience is running out

[verse 1: fid q]
nyumbani ndugu wanauana ‘ili warithi mali
jela wanafungana wakati undugu kufaana
najiuliza swali, kisha napata jibu
nakubali kuwa maisha hayawi bila ubandidu
palipo maslahi ‘usisite kuamua kuharibu
ingali yu hai, utatubu dhambi taratibu
mwanadamu amemtawala mwenzie kwa k+muumiza
ana kwapua mpaka asivyo hitaji bila kubakiza
hii inafanya ‘nafsi yangu ikose subira
ikose usingizi, uoga, huzuni na hasira
hakuna kampeni za ukimwi ‘nia ni kuuza mipira tu
chanzo cha vita nyingi sasa (?)
misaada hautoki bila kudhalilishwa
ngos zinalipa maskini kisha wanawapiga picha
uchumi uliopo, haupo kwa maslahi ya wengi
siasa imegeuka uhuni, baadhi ya viongozi ni wezi
ukistuka kuona kichuguu, utazimia ukiona mlima
sikukuu nipe bunduki, sitaki dhabibu au dinner, sitaki nguo ya sikukuu, nipe gwanda niendе chimbo kiaina
mitaa ‘inanipa ujuzi, uwezo pia ilinipa jina
haihitaji ufanye uchunguzi ili upate maеlezo ya kina
mie ni wa mwisho kulala pia ni wa kwanza kuamka
usiku kucha, huwaga na jibanza kwenye ukuta ‘sina shuka
labda kama nimevuta kigoli, sina mzuka ‘nastuka hata cha ukucha nambonji
au n+n+sa chupa ya gundi au petrol
nakesha kama bundi ‘sanjari na walinzi wa lodge
maisha yangu yako hovyo ‘na navumilia msoto
naona poa kuliko yale kwenye vituo vya watoto
vyakula vibovu havifai kwa matumizi
wasimamizi wanabaka mabinti sababu ya chips
sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi streets
sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi streets
hey lord…
[chorus: mzungu kichaa]
hey lord, hear my plea
i’m living on the streets, ‘i have nothing to eat
hey lord, what shall i do
do i become a hard+core gangster
or get the job sweeping the streets
the richest man i see (?) right infront of me
will i find joy and happiness
in hustling and thuggery
i want to build a palace ‘and marry my princess
you got to give guidance
’cause my patience is running out

[verse 2]
tunageuzwa ma+house boy ‘na wanaozuga kutu+adapt
ukajifanya uko too big ‘wana ku+tupac
mie ni zaidi ya mtafutaji, ndio maana sipumziki
polisi wamepanda chati kwa sababu tu yakuni+diss
haimaanishi nachukiwa ‘ni vyema ungehisi natumiwi
nishawahi bebeshwa drugs na maiti bila kuambiwa
magumashi yakapigika na (?) sikuandikiwa
watu w+ngu ma+shababy, mnyonge hana nafasi
kibonde anzisha ugomvi, warumi tuje [kuku+search]
nilikuwa mtundu labda ndio mwanzo wa hisia
nakana, mi sina gundu ingawa wengi walinibania
kwenye vocal booth ‘mic naibusu
we fikiria w+ngapi wananuka mdomo ‘mic harufu wameiachia
unaweza ukawa mgomvi na una black belt ya kupigwa
enzi hizo ujanja ku+break dance
enzi hizo rap haipendwi kama [buzugi]
nanyoa upara ‘wembe, napaka mafuta ya bunduki
najua itambamba ka ngekewa
mbuzi atakosa ndevu lakini ng’ombe atapewa
mistari ndio silaha ya kwanza itawafanya wahenye
itawak+mbusha kwamba hii “makandawire haina uwenye”
ki umri nimekuwa na muziki tangu utotoni
vitu vingi nnavyo fanya emcees hufanya ndotoni
wanasema mie ni nabii pekee anaye kubalika kwao
zaidi ya msanii, mazee ‘nataka niwe mshika dau
(kuishi (?) ili ku+win)
ili ku+win kweli sio nightmare
jua utosini, magumashi yanaendelea
sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi streets
sikuwa na jinsi zaidi ya kuamua kurudi streets
[chorus: mzungu kichaa]
hey lord, hear my plea
i’m living on the streets, ‘i have nothing to eat
hey lord, what shall i do
do i become a hard+core gangster
or get the job sweeping the streets
the richest man i see (?) right infront of me
will i find joy and happiness
in hustling and thuggery
i want to build a palace ‘and marry my princess
you got to give guidance
’cause my patience is running out

(instrumentals)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...