azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fid q - masta (intro) lyrics

Loading...

[intro]
wimbo wa kwanza kabisa kuusikia, ulikuwa ni huyu na yule…
hazungumzii mapenzi, bali anazungumzia jamii kwa ujumla…
sio mtu ambaye kwamba -n-lenga tu soko kama watu wengine…
vitu kama pesa na vitu kama hivyo..
ni mtu ambaye anafanya kile ambacho.. jamii inataka kukipata..

unaweza lala na bundi na ukaamka mwenye bahati/
usilale fofofo, ruzuku yako itakwisha/
utatembea hovyo, ka kuku alokatwa kichwa/

hakuzaliwa kuwa kamili lakini alizaliwa kuwa real..
anajali zaidi kile ambacho watu wanatakiwa kupata kutoka kwake..
kile ambacho mungu amembariki basi na yeye amekifanya kuwa baraka kwa watu wengine… {unlyrical words}
kwa ufupi, fid q ni masta

[verse 1]
usiniite mtata nikiwa na njaa ya pesa, story na mkora/
kamwe sitokata tamaa, forever i’ll live so all out/
hustler, kila kona nasaka goli, footballer/
jina ni masta au degosholo ukinicheki tu kora/
sio kinyonge homie, rasta kama johny dandora/
tumsake tonge ila/
namfuata pombe hauoni ving’ora??/
mwanza mwanza to the world, na hamgomi nikichora/
flow zinafanya hadi joh awaambie sinoni mie bora/
kutupiana vijineno na kuanza braza hii sio diss/
ni vile tunaokotea na meno ya weep it kisha other stiff/
usiruhusu wakatujaza si tuwape ladha tu sweet/
majungu hayazuiliki lakini wino wa mungu haufutiki/
sio tu akeshaye, hata alalaye humpa riziki/
palipo mzoga hawakosi taa waliomuwahi fisi/
kuthamini walichonacho, wataanza kitapo potea/
na wanacho miss hawakijui, mpaka kitapotokea/



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...