fid q - mwanamalundi lyrics
[intro]
yeah
marco
hivi unajua kwanini
yaani, mi huwa inabidi tu ni rekodi track kali?
ni kwasababu yaani hata kama ikatokea kwa bahati mbaya ikabuma kwenye media, yaani
najua naongelea radio hapa na vitu kama hivyo
yaani, mi binafsi nita+enjoy kuwa naiskiliza nikiwa nime+chill ghetto
kwa sababu, yaani kuna washkaji zangu ambao mi ni wasanii yaani, umeelewa eh?
nishaona wana rekodi track mbovu, yaani track ni mbovu
kiasi kwamba hata wenyewe inawapa uvivu kuiskiliza yaani
…
(mwanamalundi!)
[verse 1]
uh
niite ngosha ze don
niite mwanza, mwanza
love me ‘or leave me alone
(?) kazi wanaposema, hukomi
nami simuoni wakujitandaza juu ya kitanda hiki cha muziki
gwiji utanishangaza
wanakoshwa ‘masikioni wanapo sikia hizi ladha
nawachosha ‘nnavyo hit redioni, nyomi najaza
mashabiki ‘zaidi ya milioni, hadi wa kusaza
dar; t.m.k., ilala, na ndoni
wanamjua mwanza ambaye ame+base na hip+hop kama saigon wa (zavara ?)
na inamlipa kama scratches na bonny love jibaba, homie
na keep up on top, emcee slash hustler
kwenye hip naeka rap, kisha naiteka ki+mafia
chapchap, non+stop hits, je we utabaki ‘jinsi
nnavyo zi+drop ‘machizi, chicks wanaf+gia
tamu kama lollipop, rhymes nnazo shusha
situmi kalamu kichwani ‘hapo hapo natungia
natumia ufahamu (?) maisha kuwa shujaa
naangalia angani naona amani, inaniambia dеreva nitabeba msalaba begani usukani nikiuachia
[hook]
niitе ngosha ze don
au
mwanza, mwanza
au
mwanamalundi
mwanamalundi
mwanamalundi
mwanamalundi!
[verse 2]
kuna make+ups pia kuna mkorogo
kuna haters na wale waliojisikia tu kuleta shobo
kuna tofauti kati ya emcee na c.e.o
tambi na minyoo
glass na kioo
bafu na choo
sikia ‘ili usahau
ona ‘ili ujifunze
fanya ‘ili uk+mbuke
kama ulisahau ya jana
wafurahishe walio karibu, walio mbali watasogea
elewa ‘kama mbwa, usijaribu hata kuongea
unachokitaka haukipati, aliye kipata hakitumii
hapo ndipo utapodata na masharti ya plan b
mikakati ya kiusanii, na wakati wa bati na (?)
sio lazima kipaji ili mradi mshkaji anahitaji kitu, atasuk+maje siku?
huyu mzugaji, mzenguaji, sio ishu ‘k+mpa huyu wakati mungu ndio mpaji, unakosea hivyo
wanatumia mbawa za bandia kurukia viporo
nshapagawa, watoto sasa wanasaka chochoro
hapa kahawa ‘ni maji ya moto yenye rangi ya ugoro
hatuwezi kuwa sawa
mwendo ‘kasoro zenye kasoro
uhuru wa miguu, mikono
akili imefungwa mnyororo
utawadhuru sana huo usingizi wa pono tommorow
hauna ushuru mdomo chunga ulimi usilete mgogoro
ona ‘bila farasi kidume hawezi kuitwa polo
[outro]
niite ngosha ze don
au
mwanza, mwanza
au
mwanamalundi
mwanamalundi
mwanamalundi
mwanamalundi!
Random Lyrics
- ships in the night - the fire lyrics
- poppy tears - she thinks i act up i'm only in my macbook lyrics
- los blenders - préndanse otro lyrics
- negramaro - luna piena lyrics
- walker county - the thing about fences lyrics
- dino dvornik - 2002. godine u splitu lyrics
- aravity_fdp - présentation lyrics
- kori mullan - the lost souls of london lyrics
- ajsa luna - maszkulin lyrics
- glitter fruit juice - chola zenzuality lyrics