fid q - shimo limetema lyrics
[intro]
marco cha+
li
[verse 1: fid q]
alipo niita sik+mskia
akanikimbilia kwa ghasi, masikioni nina ipod
“hi, boy what’s what?”
kabla sijamjibu akaanza kufungua backpacks
nikasogea karibu kisha nikavua sunglass
nishaamua kusimama acha nijinafasi
mitaa ya kati mi ni mwokozi kama abbass
ni ka (?) speechless shawty asijione high class
of course she’s fat lakini hana hata stretchmarks
sio mtu wa bling yuko simple kama converse
mashavuni ana dimples, mi napenda zake dreadlocks
ni demu flani ka nna show nampa gate pass
aje back+stage asikae front row watamghasi ‘oh
lakini inanipa wasiwasi ‘kabisa
k+muita “groupie” huyu mi sitaki
mjita, kuhusu mapenzi she give up
lakini kama aki beatbox basi mimi nita freestyle
[chorus]
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
(kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha, (kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
[verse: a.y.]
muonekano (?)
cha kushangaza (?top ya mjini?)
nikiwa fresh niko frеsh ‘ukizingua ita ni+pain
chini simple kali, juu ‘safi na marashi ya ghali
mf+koni sina noti, bali visa cards mbalimbali
shimo limetema sana mi nahеma vyema
hapa sina cha kusema tule bata kwanza bhana
please ‘kw+ngu hapaingiliki
unataka kuzamia ‘hii ni meli ya kigiriki
siku yako leo ‘so jidai
fid q, a.y.,na ncha kali
shida zako kwako nimezibeba
shimo limetema ‘so jiachie ufurahi, aiih
tumenyuka ‘inavyotakiwa
tumevuta (?)
shtuka! (?)
watu hey, watu (?)
(?), tuko bien, tuko (?)
hapa tuna break it down
[chorus]
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
(kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha, (kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
yeah, yeah, yeah
[verse 3: ncha kali]
mapenzi na bars
mapenzi na bras
mapenzi na bars huwa (?) na bras
respect ndani ya bar ‘kuwa mwepesi na cash (cash)
nyepesi your stash, au revoir viwanja
ganji haipandi, (?) ya ghali
ki upendo sigandi, ni kanuni ya (?jadi?)
ustadi wa hustle, waniongezea (?)
ugaidi wa (?), watokomeza rascals
zaidi ya mbongo najirusha kama fogo
migo zikidunda ni ugali wa mhogo
track ina ng’aa, ncha kali ndio mkorogo
ukorogo ujae ‘amka, ukae
ufungue, uvae; (?busara?) itambae
naanza na jiwe mpaka wote mpagawe
ugawe, usigawe; halitoki hapa jiwe
unawe, usinawe; hapaliki hadi niwe
[chorus]
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
shi+shi+shimo limetema
(kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha, (kilichobaki)
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
ni kutw+nga na kuchekecha
[outro: fid q]
fid q ni soldier sio lazy boy
ni ngosha, ni don mwenye crazy flow
fid q ni soldier sio lazy boy
ni ngosha, ni don mwenye crazy flow
sh+t
(instrumentals)
Random Lyrics
- gatinha manhosa - morrer de amor lyrics
- charles gounod - comme à l'aurore lyrics
- kuningas pähkinä, setä tamu - bongaa mut sandaaleissa lyrics
- duunes - love bomb lyrics
- the get alongs - the roller lyrics
- rinse & repeat - zap, you're dead ("o" outtake) lyrics
- paroximia - frustración lyrics
- kookiesings - goodbye minstrel m lyrics
- museli mulaima - together lyrics
- rubina - wish bravely lyrics