fid q - usinikubali haraka lyrics
[intro: matonya]
marco+chali, mj records
[drop]
uh, uh, uh
haiwezekani, aah
uh, uh, uh
haiwezekani
[chorus: matonya & fid q]
unisumbue, sumbue
usinikubali haraka, haraka mimi ‘aah
mi sitaki kukuacha, love’ naomba ujiamini
hakuna mwingine mi anaye nijali maishani
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
ni wewe pekee sintoweza kukuacha, honey
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
[verse 1: fid q & matonya]
naomba uniweke ndani ya chupa, kwako nifike kabisa
mchumba, ‘nichizike, nife, nizikwe nawe kabisa
binadamu ‘mi, nafahamu sijakamilika
niponde kama dawa za utamu, ‘kila dakika
nitafurahi kama utanimwaga nikija kwa gia za mkwanja
nitarudi kujipanga, ki+underground ka [mafanga]
(naahidi)
kukupa moyo, ‘ukinifanya niwe na wivu
kwa mfano nikituma meseji, ‘naomba uchelewe kujibu
(na si lazima)
kila sehemu nnayo kualika utokee
au kila simu na kupigia, ‘ewe malkia uipokee
nyingine unaweza zichunia, ‘hiyo inaweza saidia
kuniweka roho juu, na kunijaza uchungu pia
tusikutane leo mtaani, halafu kesho eti uibuke ghetto
nizungushe ili nijitoe, ‘mwisho wa siku niingie mpeku
usinikubali haraka sababu utaharibu mapenzi
nami sitaki kukuacha tuishie one+night stand
sijakupenda leo tu, ‘sababu tumekutana
nilikupenda long time, hadi leo nakupenda sana
nikikutazama napata hisia za kuoa, na sio kukudanganya kisha nikaishia [kukohoa]
[chorus: matonya & fid q]
unisumbue, sumbue
usinikubali haraka, haraka mimi ‘aah
mi sitaki kukuacha, love’ naomba ujiamini
hakuna mwingine mi anaye nijali maishani
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
ni wewe pekee sintoweza kukuacha, honey
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
[verse 2: fid q & matonya]
usiniambie rangi uipendayo, ‘acha mwenyewe niitafute
usiitunze, yeah, yeah, yeah
kila zawadi nnayokupa nyingine zitupe, ‘ili nijifunze
nnapo ingia ndani ya duka bei isishuke
usijichubue
wapo wanaozusha eti napenda ngozi nyeupe
eeeh
niimbie [?] za rado tu, ‘mkere fid q
ukiniona hainiumizi [?] ujue kwako nimeweka full
nimechizika boo, ‘sio kama napita tu
sijajipachika kama sticker, ‘nimekita kama tattoo
kama unanipenda, nipende ‘yeah, yeah, yeah
lakini usinikubali haraka
wewe ni jangwa, mimi ni mtende ‘nimekuja kama sadaka
wote walio nikubali haraka, ‘hatukudumu tuliachana
sitaki kuamini na zali eti kwa kuwa najulikana
sijakupenda leo tu, ‘sababu tumekutana
nilikupenda long time, hadi leo nakupenda sana
nikikutazama napata hisia za kuoa, na sio kukudanganya kisha nikaishia [kukohoa]
[chorus: matonya & fid q]
unisumbue, sumbue
usinikubali haraka, haraka mimi ‘aah
mi sitaki kukuacha, love’ naomba ujiamini
hakuna mwingine mi anaye nijali maishani
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
ni wewe pekee sintoweza kukuacha, honey
unisumbue, sumbue ‘usinikubali haraka
[outro: matonya]
marco+chali, mj records
uh, uh, uh
…
uh, uh, uh
[instrumentals]
Random Lyrics
- mohit - my life my rhyme lyrics
- astrus* - audition lyrics
- djretsam - montreal memoirs lyrics
- neuza pina - confidência lyrics
- luis dh - surgery for nothing lyrics
- death's dynamic shroud - only now lyrics
- ynkeumalice - favorite, pretty on purpose (sunkist baddie) lyrics
- asymmэtric - delusions: i close my eyes and see the devil lyrics
- ndidi o - in may lyrics
- emaa & killa fonic - f l o a r e d e l o t u s lyrics