azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

fitzon dai - party lyk no more lyrics

Loading...

intro:
iiiiyaaaah,is your boy cool b
fitzon dai being,the changamka starz music
yeeaaba..we do this like no more
kama kawa tumerudi tena…aaah

verse 1
leo nina party katikati,kunywa tu mawine ..
ongeza na mandazi,madem wameswag ..
utadhani ni mababi,party iko fine cheza nasi mbali..(jiaah)
gate crush itabidi mko ndanii,life time nikuparty na mamanzi..
kila mtu amefil, amechiz hapa ndani..
mabeshte na mahater ,itabidi mmekubali..
wacha niwasho, mambo basi..
cool b i don’t fear,hata mki kam na magun..
coz this party tunaparty,bila wasi wa..wasi wasi
cool b, fitzon dai,kambona,na machali na mamanzi na vinywaji
party lyk no more..

chorus
party lyk no more,party lyk no more
na warembo
na machali
na vinywaji, party lyk no more .. x2

verse 2
akuna pupa,bash ni kuparty..
unafil, vunja mifupa..
una manzi kam kwenye denci..
una manzi chunga mafisi..
akuna cha kukaa na mabinti..
akuna cha kutoa masharti..
akuna cha kupiga makofi..
changamka starz,si ndio mababi..
leo tuna party,leo tuna par-ty..tuna party
leo tuna party,leo tuna par-ty..tuna party x2
eeeh…eeeehh..

chorus
party lyk no more,party lyk no more..
na warembo
na machali
na vinywaji,party lyk no more ..x2
fitzon dai beiby…

verse 3
hii party imebeba beba wasupa buda wamebeba vinoma..
wanatingisha viuno mabega,mpaka kwa kilub wanafil hii ngoma..
na ukicheki usikuwe umeketi,wee amka na kisha ubanjuke tu..
hii si siri mpaka mapastor wanabanjuka tu..
hii floor imebeba wasupa kuruka,utadhani k-mezuka..
fitzon dai siwezi epuka ghipuka,nimedata na mkamba..
pastor akisoma stanza ya kwanza,msee anafil ameguzwa buda..
na akitoka kidogo kisha aone msupa…niaje msupa

chorus
party lyk no more, party lyk no more..
na warembo
na machali
na vinywaji, party lyk no more..

outro:
iiiyaaaah, changamka starz music
forkfear ent, skag on the beat..
pa,pa,pa…party lyk no more…
aah ha ha ha..
endever..!



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...