fivara - katika ubora wangu lyrics
[intro]
one, two, watu, wabantu
touch music again
fivara
rock city native au siio
[verse 1]
fikra ni vazi la rap natoka mwanza
nipo imara kwenye fasihi tangu nasoma nyanza
hisabati najua, kivipi nakosa banda?
hila zipo, nilivyo kivipi mw-nga?
mjini utajipanga ukikosa hata w-nga
huna cha k-manga, huna hata ya karanga
ndio hapo hapo mawazo yanakujanga
nipige mishe gani ili mapato kuyachanga?
mi napajua chini kabla hata ya kupanda
hivyo sitaogopa kurudi hayo mambo ya kusanda
kuongea online hayo mambo ya kujamba
face to face unahanya, fb mambo ya kutamba
kwenye hii gemu siwazi mambo ya kuanza
mchezaji machachali yaani kitambo nina namba
kwenye rap unatupwa mapango ya tanga
kwenye map unafutwa kafanye tangazo la kanda
[chorus]
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
(anhaa)
katika ubora w-ngu
(anhaa)
katika ubora w-ngu
[verse 2]
huwa nikipata mdundo, kalamu, karatasi
nawakilisha hisia j-po nafahamu hawataki
mwisho wa siku watataka nifunge mdomo
wakigundua ni vigumu watataka waniunge mkono
sina muda nao, nataka nitunge visomo
viwafikie, niwafundishe kisha waniunge mitonyo
wazushi waache, wasunye misonyo
mistari mikali niwape kisha nivuke kikomo
ujue ubongo nao ni kama rubberband
ukiuvuta unavutika basi soma pata mengi
pita nyayo zako, acha kufata wengi
ithamini sanaa yako ili kupata changes
wengi mnaingia lengo likiwa kupata cash
kisha mnadata kwa mangada mkipata deshi
kwanza mjielewe mkianza kupanga vesi
gemu ina mengi mpaka kiki za kupata kesi
[chorus]
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
(anhaa)
katika ubora w-ngu
(anhaa)
katika ubora w-ngu
[verse 3]
unaehoji niko wapi? niko ambako haujafika
yaani upo dar na makambako hauj-pita
nikiwa jikoni ni ambavyo hauj-pika
mithili ya doro katikati ya semista
ni siri ya moyo vile huandika
hupenda nyoyo vile mi hutapika
vile mi huchanika ni kama nimebusti kirox halafu wali ukanilisha
“bila daftari mali huisha”
kila daftari flow kali nahuisha
mwalimu oh mkali, mi nafudisha
usiwire kisa nina sauti kali nakutisha
ukijifanya mjuaji nnakupisha
j-po mwalimu wa mbeya kwenye upigaji hakusita
kazi za wito ni tafu mista
wachache tunoweza mwenye rap chafu pisha(ticha)
[chorus]
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
hivi ndivyo navyofanya napokua kwenye ubora
na hapa nilipofika shukrani wazazi na mola
(anhaa)
katika ubora w-ngu
(anhaa)
katika ubora w-ngu
Random Lyrics
- urltv - john john da don vs. jakkboy maine lyrics
- adel tawil - alles lebt lyrics
- hellish grave - (i am) midnight preacher lyrics
- jona alk - gris lyrics
- antónio zambujo - ao sul lyrics
- juli giuliani - giuliani by kusturika lyrics
- white lighter - that's right lyrics
- souzadasilva - lugar-comum lyrics
- vicki anderson & james brown - think lyrics
- mohammadalifa - 7 reasons why men should start wearing wristwatches lyrics