flier - vijana wanataka kazi lyrics
yea, yea, yea, yeah
baba nitafutie kazi huko serikali
ka kuna ka nafasi niwekwe pahali
aki ya nani sitaambia mtu huku
baba shida yangu tu ni ya mapato
si unishikanishe na ka parastatal
wakiniita tutaonana kando
vijana wanataka kazi
wana elimu, nguvu na vipaji
lakini kenya hii si k+mejaa wajuaji
kupata kazi huku ni roketi sayansi
vijana wanataka kazi
kwani maisha ngumu bila kazi
sasa nairobi mji umejaa majambazi
ni wengi wanategemewa nyumbani
wafanye aje?
mama nieleze wapi naweza ni ka apply
je kuna kandarasi tunaezawai?
nikuulize, si unajuanga mtu huku?
mama, mambo yako nitakuona hii weekend
mi sina noma na kugawa per diem
weh wak+mbushe tu ni postiwe huku
vijana wanataka kazi
wana elimu, nguvu na vipaji
lakini kenya hii si k+mejaa wajuaji
kupata kazi huku ni roketi sayansi
vijana wanataka kazi
kwani maisha ngumu bila kazi
sasa nairobi mji umejaa majambazi
ni wengi wanategemewa nyumbani
wafanye aje?
na sikupenda kwetu ni vile hali
inaleta pressure ni kitu gani hii
sikupenda kwetu ni vile hali
inaleta pressure ni kitu gani
kupata kazi imekua kazi
wasichana wanataka mtu anakazi
watoto wanataka nan, wipes na diapers
maisha kweli ni ngumu bila kazi
Random Lyrics
- jeof - rien ne change lyrics
- shalom (cze) - spím lyrics
- miguel play - vete corre y dile lyrics
- mara g. & alberto grasu - slobozia lyrics
- valeria ferro - llegué muy tarde lyrics
- rhumba club - tus es un danseur lyrics
- hannah cole - hilda lyrics
- royale lynn - six feet deep lyrics
- drxculv - ripdeadteen lyrics
- ssanxx - как забыть тебя lyrics