freshboyz - maana ake nini? lyrics
intro
hakuna atakaekwambia
ila ukipata wanajisogeza
ndo hao hao wanajaza meza na demu unaempa fedha
si huku bure tunamega akija kwako anajikweza
chorus
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini?
verse 1
najua kama najua tell me something new
najua kama wanajua si tunajua
but they acting like they fools
si tunajua wanatujua ila hawataki kuonekana wanatujua wanasubiri waone kwanza tumekua
man that’s some bullsh+t!
shpapi flani bad and boujèèh
hawajibu dm hawa follow, hawa pay attention labda wakiona una blue tick
ndio maana wengi wenu mkishoboka kwa waliotoboa mna expire wakishawavua vyupi
you get what you give..stupid!
cha nguoni mwako ndio kikulacho
maana ake nini unanifwata nikiwanacho?
maana ake nini nikikosa unapatikana kwa msako? maana ake nini ukizikusanya zako zakwako
za kw+ngu zakwako?
verse 2
niambie maana ake nini
kua na wana shazi alafu ma snitch yani
mwamba ila anatabia za ki pisi?
sa we una pisi kali kwenye simu bebe bebe haziishi ila hata moja ikija geto hautishi?
maana ake nini?
unakopakopa haulipi hata buku tano
inakufanya uanze zama kwa miti
na unavyopenda ma kiki
ikifika weekend tu vipi leo tunawakaah!??
hebu lala hio buku utakula pipi
huyu mwana vipii??
sh+t!
dunia ina mambo mengi bhana
me natafuta anauliza mbona unaspend sana anaanza mpaka ku hate
kabisa anapata stress nnavyo flex
kama alinichangia kupata cash..broh!?
chorus
sasa hio maana ake nini?(maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini?
verse 3
oya weeh!
sasa hio maana ake nini? kuniuliza unachokiona nini unataka kusali hauna dini? kipi we unataka?
huku kwetu hamuwezi fanya nyinyi kifo cha mashaka
ka’ daudi balali alivoenda chini usinitizame chini
ukiona freshboys in a minute ka’unajiamini fanya iwe pini
ni k+maanisha waone tunafanya nini
wauni ka’umeweka pesa straight to the business amini from the start to the finish
nilichoskia kwamba wanajiuliza si tutatoka lini? tulipofikia babu atuwezi kuanza kujiuliza nini usiulize maana iam wanajua nafanya nini
me ndo m’beba madini
verse 4
yeah..maana ake nini mshua ana mawe alafu una suffer ndo nilivyoulizwa kipindi naanza kusaka so..
maana ake nini unahonga alafu hutoi sadaka
na ibadani ukiwa unasali kichwan unawaza papa tu (mother+++++!)
so far nilivyo mademu wanahisi nazuga maana
naambiwa sijali hawaelewi najali muda
maana ake nini tu ghafla mwanangu unageuka yuda
kila nikitoa vyuma wanauliza lini ntachuja
chorus
sasa hio maana ake nini (maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini!?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini? (maana ake nini)
hio maana ake nini?
sasa hio maana ake nini? (maana ake nini) hio maana ake nini?(maana ake nini)
hio maana ake nini?
Random Lyrics
- sniper - ensemble (2023) lyrics
- larizz - fuel lyrics
- calite - mutsuz lyrics
- mari nakamoto - before the next teardrop falls lyrics
- scyorty - go up lyrics
- yubeili & boza - nota lyrics
- doggyland - abc remix lyrics
- tina ivanović - kao magija lyrics
- rosa lópez - 1930 lyrics
- icegergert - жизнь это trap lyrics