fundi konde - fundi ni yatima lyrics
Loading...
ninao msiba
fundi ni yatima
kila nikondapo huwaza mengi
kisa ni cha baba na mama
baba na mama wako ahera
haikuanza sasa
ni kupungukiwa
ndugu zangu wengi kunipotea
waume kwa wake hunigura
si amri yangu ni ya mola
walizaliwa k-mi
wa moja ni mimi
sita walikwenda hali ni wadogo
waume watatu na dada zao
tulibaki watatu na wanawake ni wawili
juzi haikutosha
mmoja alikwenda
sasa tulobaki hesabu sawa
wakwanza nami wamwisho tu waume
wapili kwa kuzaliwa na mdogowe ni wanawake
Random Lyrics
- lil west - blackwater lyrics
- da mafia 6ix - do dabs lyrics
- chip - new day lyrics
- toby man - think it over lyrics
- shadow royale - time lyrics
- lil uzi vert - hundred bands [snippet] lyrics
- dh feat. bo haan - let me know lyrics
- john paul white - hope i die lyrics
- sydny august - runnin' [cover] lyrics
- jahmal feat. витя ак - чё попало шоу lyrics