gelax wakristo - kujikana lyrics
kujikana lyrics
verce 01 , gelax
itro
wakristo
ili amani iwepo hiari iamue
pokea wazo ujishauri mweyewe
ukweli unadumu ukijitahidi uelewe
uongo sumu inayo ua hatua ya mbele
wakati wa kuweka mbegu haupandi
wakati wa mavuno unavizia kwa jirani
atakachokupa ni ambacho ye akipendi
ujue maisha yanaenda hata kama we hauendi
unachelewa, kutimiza kusudi uliloumbiwa
haulijui, kwa sababu mara ya pili haujazaliwa
chorus
gelax
tunapokuja kwake yesu
tun-z-acha mila na desturi zetu
ye anatawala kwenye kila nyanja
utailinda imani hata ukipata
verce 02, gelax
pasipo nafsi yako kuikana
nuru iangazayo kamwe uwezi kuiona
usidhulumu haki ya roho
inayoishi milele ndani ya mwili kwenye kituo
naihubiri injili iletayo ufufuo
lakini dunia imekuwa kama gulio
imani potofu ni tofauti na neno la kristo
kama dhahabu ingarayo, imepimwa ivyo kwa moto
ukiamini neno ndo litakuzaa
kwa utu wa rohoni kama mtoto utakuwa
huyu ndiye mtu mwenye busara
amefunguliwa alipokuwa ametekwa nyara
yule aliyepotea , amepata dira
mzaa wa nini
wakati yuko huru hataki kurudi utumwani
furaha imeongezeka maradufu
amekua kioo cha bwana anaakisi utukufu
chorus
verce 03, gelax
bwana yesu k-mwamini
na kwa mdomo unamkiri
unadhibitisha ujasiri
we ni mkristo wa imani
ilo ndilo fungu jema
utaishi kutimiza maono ukiwa salama
unaishi leo kwa ulichokiona jana
uamuzi wa leo ni chaguo la kesho , basi usiogope
kile ulichokiona usikifumbie macho
tambua unachostahili daima uwe nacho
chorus
outra
gelax wakristo
isaiah611
Random Lyrics
- gianni taylor - i know lyrics
- obgreedy - bold (can't stop me) lyrics
- jay vaquer - mondo muderno (d mierda) lyrics
- peaky - dilations and credentials lyrics
- myqeed - расстояние (distance) (feat. biser) lyrics
- jmsn - always somethin' lyrics
- kid creole and the coconuts - with a girl like mimi lyrics
- idk - nudes 4 cash (adult swim) lyrics
- master - subdue the politician lyrics
- jason voriz - seven eleven lyrics