gelax wakristo - msamaha lyrics
intro
msamaha ,lord i ask for forgiveness
gelax wakristo
verse
nasogea mbele zako
kwa toba nimekosa
nimetenda uasi na dhambi mimi nahitaji kuoshwa
wewe ni yeye yule aubadiliki ndiye watosha
nitakase kwanza moyo w-ngu unanisuta
kwa damu yako ndo inaweza kunifuta
kutu ya vinyongo vya hasara vilivyuojaa kwenye kuta
moyo w-ngu umejishusha unatafuta uso wako
nimesamehe watesi w-ngu nipokee baraka zako
umeyafuta makosa yangu kama wingu zito
yeye umenifanya kuwa mpya kwa roho na moto
mtakatifu bwana afutaye wala hato zik-mbuka
dhambi huzaa mauti ila mimi nimeokoka
you’re the only one created people
kwa watu hauna kinyongo
simpendi shetani ni mwongo
alinipotosho nilikuwa kwenye giza,giza
nikaingia nuruni nikapokea muujiza.muujiza
nikawa mtoto wa kutii,wakutii
moyo ukapata haki,furaha na amani. x2
kwa habari njema nataka kutumika
pande zote za dunia kwa vipawa ulivyonipa
kwa garama yoyote haswa kwa punzi uliyonipa
neema yako iwaokoe wale vijana wenye pupa pupa pupa
kama mimi ulivyoniponya neno lako lanifaa
nikik-mbuka uliponitoa mkombozi unahitaji sifaa
katika kristo zimesitirika hazina ya hekima na maarifa. x2
alifanyika adhabu ya imani yetu
kwa kupigwa kwake sisi tumeponywa. x2
msamaha tumepewa niwewe uhuruhusu uingie
epuka usichelewe duniani mungu umtumikie
auwezi kuuona ufalme usipozaliwa mara ya pili
spoken words
mungu ni upendo,ni mwenye huruma na rehema
umrudie kwa toba ,uyafuta makosa yetu kwa ajili yake mwenyewe
aijalishi dhambi zako ni nyingi kiasi gani,muombe msamaha ye ni mfariji atakutakasa
na moyo utakuwa msafi
kwa habari njema nataka kutumika
pande zote za dunia kwa vipawa ulivyonipa
kwa garama yoyote haswa kwa punzi uliyonipa
neema yako iwaokoe wale vijana wenye pupa
Random Lyrics
- cons3pt - in-security lyrics
- hot banditoz - get down on the floor - original version lyrics
- loco-motiva - locomotiva lyrics
- akhenaton - à part les € lyrics
- thin lizzy - for those who love to live lyrics
- revil - mi mirada al cielo lyrics
- rollie tx - el ultimo ride lyrics
- lordish - second truth lyrics
- datsik - gravity lyrics
- vacca - voodoo connection lyrics