genevieve (tz) - baba yangu lyrics
[intro]
ah
it’s your boy (?) beats
yeah, ay
yee, yoo
ah, ya, ya, ya
oh, yo, yo, yo
oh, yo, yo, yo
oh, iye, oh, iye
[chorus: genevieve]
baba yangu umenilea mpaka leo nimekuwa
ninashukuru sana
kw+ngu wewe ni wa maana, iyah
baba yangu umenilea mpaka leo nimekuwa
ninashukuru sana
kw+ngu wewe ni wa maana, iyah
[post+chorus]
baba huyo
baba huyo
baba huyo
baba huyo…
baba huyo…
[hook: king kikii]
asante
asante
asante
mwanangu
[verse 1: genevieve]
mvua, jua ‘vyote vyako
kupambana, mihangaiko
hukuchagua ‘kazi kwako
kuikimu familia yako
tulikuombea dua utokapo
mungu akupe utafutapo
ulikopa pia huko (?)
tusipate mafadhaiko
[pre+chorus]
unastahili pongezi (baba)
nderemo na vifijo
kukulipa siwezi
nitakupenda baba
kuna walio kimbia familia zao
wewe ulimudu bila kuchoka
bila wewe baba
mama asingeweza
kuna walio kimbia familia zao
wewe ulimudu bila kuchoka
ingawa single mother, sio wa kubeza
[chorus: genevieve]
baba yangu umenilea mpaka leo nimekuwa
ninashukuru sana
kw+ngu wewe ni wa maana, iyah
baba yangu umenilea mpaka leo nimekuwa
ninashukuru sana
kw+ngu wewe ni wa maana, iyah
[post+chorus]
baba huyo
baba huyo
baba huyo
baba huyo…
baba huyo…
[hook: king kikii]
asante
asante
asante
mwanangu
[verse 3: genevieve]
chochote nipatacho baba yangu nitakusitiri
ndio fadhila yangu
kila niamkapo, kwenye sala zangu
ninakuombea dua kwa mungu
akupe afya njema
akupe hisia njema
uzee mwema
umpende sana mama
[pre+chorus]
unastahili pongezi (baba)
nderemo na vifijo
kukulipa siwezi
nitakupenda baba
kuna walio kimbia familia zao
wewe ulimudu bila kuchoka
bila wewe baba
mama asingeweza
kuna walio kimbia familia zao
wewe ulimudu bila kuchoka
ingawa single mother, sio wa kubeza
[verse 4: king kikii]
ewe mwanangu
shukrani zako, zipokelewe
na mwenyezi mungu baba
muweza wa vyote
nakuombea kwa mola wetu
azidishe
baraka tele
ndani ya ndoa yenu
vikwazo na nia mbaya ya watu, fitina
vipishwe mbali
sala hiyo…
[hook: king kikii]
mwanangu
mwanangu
mwanangu
ah
mwanangu
mwanangu
mwanangu
ah
[outro]
[drop]
Random Lyrics
- little boogie - martes 13 lyrics
- artem (fi) - aavekaupunki lyrics
- артем чугуєв (artem chuhuyev) - все добре (everything is fine) lyrics
- natalia taylar - queen of hearts lyrics
- written by the stars - segundo lyrics
- 手がクリームパン (tegacreampan) - 拝啓元恋人へ (dear my ex...) lyrics
- varii - ecstasy ft. luciibang lyrics
- bato - snippet 17.08.2024* lyrics
- eric soltys - starting something lyrics
- witchboy - extortionegod lyrics