azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ghafla - mtoro wa nchi lyrics

Loading...

chorus
umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe v.i.p nanii(right)
na umetaabika sana pia ukiwa njiani r.i.p nanii
tumepoteza wanajeshi wengi mtaani r.i.p nanii(right)
naitwa ghafla baby
natoka mtaani
niite mtoro wa nchi

verse 1 (ghafla)
sina mpaka wala tabaka
bali mabaka kwenye ngozi
roho zaidi ya paka
koo zaidi ya shaka
baraka zaidi ya papa
haiwaingii mnipe mamlaka
natamani niwe mzalendo ila nitakuwa peke yangu
nitatumika kama chambo
kitambo ningeongea demokrasia ipo ng’ambo
uhuru wa wanangu
nakula haramu iliyonona
salamu nikiwa nagomba
sina upendo labda nyota
102 ndo code bra
kiatu ngozi ya cobra
fanya show na oprah
hata brain wise kuwa mkali hakutengeneza beat moja
kusakwa hadi kupatwa
kwa dhiki na magonjwa
njaa kali uswazi nini
ingia sauzi ama nini
nyonga tai zama mjini
hatuna mauza no photos
club maji sio dompo
mbali na nyumbani lazima itakuwa sio bongo
kubaguliwa na watu baki huwa ni sawa
ila ukibaguliwa nyumbani ni lazima ujisikie vibaya
natamani kuwa mzalendo ila msiniagize madawa
akiwa nchi za watu alitutoka cowbama..right
ghafla baby
natoka mtaani niite mtoro wa nchi
chorus
umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe v.i.p nanii(right)
na umetaabika sana pia ukiwa njiani r.i.p nanii
tumepoteza wanajeshi wengi mtaani r.i.p nanii(right)
naitwa ghafla baby
natoka mtaani
niite mtoro wa nchi
umetengeneza pesa mingi nje ya nyumbani ili uwe v.i.p nanii(right)
na umetaabika sana pia ukiwa njiani r.i.p nanii
tumepoteza wanajeshi wengi mtaani r.i.p nanii(right)
naitwa p mawenge
natoka mtaani
niite mtoro wa nchi

verse 2 (p mawenge)
wakati nawaza benzi, bugati na ma bentley
nyumbani barazani mshua kapaki baiskeli
mi nikaona hii sio kweli, na skuli skufeli
sa si bora nkawabane tu hata poda na mineli
usishangae kuona vile nna makovu mwili mzima
zote struggles, mishe za ku play to be a wnner
kwenye game bado jina, fame bado sina
j+po mkali eti sababu ya complain wakanizima
so hata mziki home ukafa, nkaendelea ku+suffer
na ndo time, nikawa na mentality ya ki+hustler
sina passport, vyote kw+ngu nliona takataka
ntasafiri hata kwa basi ntoboe chaka to chaka
sa niko nchi jirani, na bonge la kampani
mich0m+ko night kali 10 nje 10 ndani
j+po wengi washapotea, wanetu buriani
acha nitafute j+po nimepamiss nyumbani
outro

right
naitwa p mawenge
natoka mtaani
niite mtoro wa nchi



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...