azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

ghafla - mtu bora lyrics

Loading...

chorus
imeanza chini sana imetushinda mara ngapi haikamatiki kila siku hola
sijawahi tamani kuwa mwingine maana mi mwenyewe najitamani najijenga kuwa mtu bora
na bado zina bei maisha yapo chini nusu dola
hapana singojei nakazana kuwa mtu bora
najijenga

verse 1
labda zamani ilikuwa zamani sana kale
hatuna kitu ipite siku tulisogea pale
kwenye unafuu ila sio tuwe kama wale
miaka nenda miaka rudi tulilalia kande
mama alisema hapana ghafla huwezi choka
fanya kupambana mwisho wa siku ibaki story
tamaa ukiendekeza utajikuta kwenye pori
binadamu hawaaminiki bora uwaone kwenye njozi
pigahaipokelewi tu haloo
heri nizifuate huko ooh my lord
chini panaumiza hakuna huruma bro
usawa unakaba sio tena koo

chorus
imeanza chini sana imetushinda mara ngapi haikamatiki kila siku hola
sijawahi tamani kuwa mwingine maana mi mwenyewе najitamani najijenga kuwa mtu bora
na bado zina bei maisha yapo chini nusu dola
hapana singojei nakazana kuwa mtu bora
najijеnga
verse 2
zamani ilikuwa op bro
maana pasi zote visigino
kubaliana nasi tu kishingo
upande wa pili tupo lindo
fanya yote yabaki history
hatukushinda ila tulikula jioni
ni mlo mmoja wa usiku jioni
leo nabadili route tukutane jioni
nimekuzwa mtaani sipendi polisi mimi
huru wanangu wanammiss g
nime… kwa wakati mmoja nina discipline
sina ukaribu na mafisi
sina upendo na polisi
nimemmiss mama na … rudi ufanye tena kwa machizi
sina bifu na wa r&b
bongo fleva najiachia
kama inaleta pesa basi wanangu fresh tengeneza pesa wasikuambie
piga ramli mi namuita allah
amini uwezo usiamini ramli
kama yako ipo pia yangu ipo
basi zetu zipo tukikaza sana
piga kazi piga deal
mkwanja uko wap tuka chill
maisha flani roho na mwili
upande wa pili marafiki
upande wa pili wewe na mimi
maana nimetoka kule na watu w+ngu mtaani kwa upendo wao nimefika hapa..sana
chorus
imeanza chini sana imetushinda mara ngapi haikamatiki kila siku hola
sijawahi tamani kuwa mwingine maana mi mwenyewe najitamani najijenga kuwa mtu bora
na bado zina bei maisha yapo chini nusu dola
hapana singojei nakazana kuwa mtu bora
najijenga

ghafla anaongea
yeeah
na wanatuelewa sasa hivi
kutoka chini kabisa
hatua kwa hatua
tofali kwa tofali mpaka kujenga himaya
muzik tanzania baby

bridge
nafanya nafanya nafanya
kazana kufanya kwa sana
nafanya nafanya nafanya
kazana kufanya kazana
nafanya nafanya nafanya
kazana kufanya..
fanya usiache..uuh



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...