azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

gigy money - papa lyrics

Loading...

kimamba on the beat

nampa nampa nampa papa
nampa nampa nampa papa
nampa nampa nampa papa
nampa nampa nampa papa

akitaka na ugali wa dona -namsongea
atake nini tena -namtendea
tiba yaki daktari napona
naacha magongo natembea
atake nini tena
sijawaga na mapene
napenda safari
zile rhumba masebene
motema na ngai
natamani aseme anachotaka nimpatie
natamani ailoeshe navyokata nimpatie

na si anapendaga sana samaki we mpatie
nampa papa
sangara kibua haitoshi we mpatie
nampa papa

nampa nampa nampa papa
nampa nampa nampa papa

shida inakuja wakiniona nae wananuna eeh
kwenye stori zetu nimtajaga ee wanauchuna ee
hata kwenye simu yangu ukipiganga we wanaguna ee
wamekusema ni uvumilivu wala huruma ee
hawajui nimenasa mie
namba tasa mie
ye funguo na kitasa mie

natamani aseme anachotaka nimpatie
natamani ailoeshe navyokata nimpatie
na si anapendaga sana samaki we mpatie
nampa papa
sangara, kibua haitoshi we mpatie
nampa papa

nampa nampa nampa papa
nampa nampa nampa nampa papa

na si anapendaga sana samaki we mpatie
nampa papa
sangara, kibua haitoshi we mpatie
nampa papa
nampa nampa nampa papa



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...