gloria o. muliro - kazi yako lyrics
ingelikuwa mungu anauliza mwanadamu
jinsi ya k-mtendea mwanadamu
basi mimi nisingekuwa jinsi nilivyo
hata tena nisingekuwa mahali nilipo
ungeambiwa sifai, w-ngekukanya vikali
ungek-mbushwa dhambi zangu za kale
unabariki unayependa, unabariki unavyopenda
nahitaji ndio yako yesu tu
nahitaji ndio yako yesu tu
ninataka ndio yako yesu tu
ndio yako itanisimamisha
ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango
hakuna sikio lenye funiko jamani
wala sijaona jicho lenye pazia
adui zako w-ngelikuwa na uwezo
w-ngefumba macho, w-ngefunika masikio
wasikuone ukiwa juu, wasisikie umebarikiwa
meza utaandaliwa mbele yao
utakula, utakunywa mbele yao
nahitaji ndio yako yesu tu
nahitaji ndio yako yesu tu
ninataka ndio yako yesu tu
ndio yako itanisimamisha
ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango
nasema ndio, ndio ya bwana
yesu usiposema ndio, mali yangu, akili zangu hazitaweza
bwana sema, sema ndio, yatosha
nahitaji ndio yako yesu tu
nahitaji ndio yako yesu tu
ninataka ndio yako yesu tu
ndio yako itanisimamisha
ndiyo yako ndiyo itanifungulia milango
Random Lyrics
- quadeca - wii music fire lyrics
- andriette - val vir jou lyrics
- lijpe feat. jandro - ik denk lyrics
- wesley safadão - cara lisa (ao vivo) lyrics
- martin almgren - the best you can is good enough lyrics
- aceves meija & miguel - serenata huasteca lyrics
- bts - run lyrics
- demir da kid - good dads lyrics
- kevin so - parade lyrics
- maruli tampubolon - ruang lyrics