golden tz - lonely lyrics
yoo yooo yooo
you knew me from the start
unanijua toka mwanzo
tena unajuaa
kwako bwege hamnazo
tena namtambua
huyo mwehu aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonley
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j+po inaniuma sitambui
tena namtambua
huyo mwehu
aliyeuteka moyo wako.
na ataniua
astaghfirullah
mahaba yenu pambe moto
baby lonely
mwenzako niko lonely
mama mwenzako lonely
mwenzako lonely
baby lonely
mwenzako nakufa lonely
mwenzako niko lonely
baby lonely
tena inshallah
panapo majaliwa
na harusini nitakuja
kuja kuja kuja
na ntaleta zawadi
mimi mwenzako moyo safi
kuachana si uadui
j+po inaniuma sitambui
j+po penzii
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi
solo solo
nimechacha
kiporo poro
penzi la makolo kolo
nimekuwa ka kolo kolo
umeniacha mimi solo solo
nimechacha kiporo poro
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo solo
kolo kolo kolo kolo kolo
solo solo solo solo
Random Lyrics
- spel! - on my own lyrics
- antropolita - słowo warte więcej niż cash lyrics
- kaui - heartbreak hotel lyrics
- milky juice - wish lyrics
- mesh (uk) - the ghost of being alone lyrics
- wei (위아이) - 질주 (overdrive) lyrics
- dogma - my first peak lyrics
- 9mice - 1000 подруг (1000 girlfriends) lyrics
- coldy - 120 years old, i will die lyrics
- greazy g - bladesmith lyrics