azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

golden tz - unanipenda lyrics

Loading...

unanipenda kuniacha hutamani
nakupenda kukuacha sitamani
yalianzaga before
toka vidudu my lo
tena penzi letu baby
ni nawe mpaka kifo
unanipenda kuniacha hutamani
nakupenda kukuacha sitamani
niseme nini sweet
na jana ndo umetaka gari
amepata mganga au nabii
mbona dawa zake kali
unanipenda kuniacha hutamani
nakupenda kukuacha sitamani
w+ngu masika hadi baridi
ona mwenzenu ninavyofaidi
ame ni text nirudi mapema
leo atanipa alivyo ni ahidi
unanipenda kuniacha hutamani
nakupenda kukuacha sitamani
tusome tufate maandiko mamy
usitamani hicho cha jirani
mi nimekupenda wewe
na mimi si ndio wako
mwandani
mi nitakupenda mpaka
pumzi yangu ya mwisho
mi nitakupenda mpaka
pumzi yangu ya mwisho
yani baby, love is not easy
tafadhali usiniumize
love is not easy baby
wengi wanakuwa machizi aisee
unanipenda kuniacha hutamani
nakupenda kukuacha sitamani



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...