guardian angel - size different lyrics
tuko tofauti lakini sote ni wa maana
ukijikubali ndio utaona hiyo maana
mungu alikuumba kwa njia maalum wewe
maalum maalum
unajilinganisha na wengine kwa nini wewe
kwanini kwanini
mungu alikuumba kwa njia maalum wewe
maalum maalum
unajilinganisha na wengine kwanini jamaa
kwanini wee
kwanini
kwanini wee
kwanini
tembea pole pole kwa mwendo wako wewe mwenyewe
jaribu ujikune pale mkono wako ufikapo
upo sawa wewe
vile ulivyo ndugu
hiyo tofauti yako ndio inafanya uwe maalum
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
today let’s thank god for it
yesterday forget about it
tomorrow may come hope for it
just take one day at a time oooh
today just thank god for it
yesterday forget about it
tomorrow may come hope for it
take one day at a time ooh
take one day at time ooh
one day at a time
eiih
take one day at a time oooh
one day at a time
mungu alikuumba kwa njia maalum wewe
maalum maalum
unajilinganisha na wengine kwa nini wewe
kwanini kwanini
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
vidole vyetu
size different ooh
size different
kila moja
makes a difference ooh
makes a difference
hum
eeeh
aeeeh
aeeh
hum
iyelele
maalum
maalum wee
maalum
hum
eeeh
aeeeh
aeeh
hum
kwanini weeh
kwanini kwanini
Random Lyrics
- srajan yaduvanshi - yariyaan te gediyaan lyrics
- will stratton - at the table of the styx lyrics
- spc eco - melancholia mania lyrics
- sid worthy - terrell owens lyrics
- nc angel - tiempo lyrics
- kervin gadiel - solo de mi freestyle lyrics
- only u - next to you lyrics
- jaso 930 - pintura en las manos lyrics
- vincenzo spampinato - che cosa vuoi che sia lyrics
- uxie kid - autodestruição lyrics