azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

h_art the band - p.d.a lyrics

Loading...

[intro]
mi napenda kupea dame yangu attention
from kisses kwa bus station
to mentions kwa radio station
4.20 tupate session
na si unajua studio pia hawezi kosa session
yaani hii sio love tu hii ni p-ssion
that one person
shikilia my h_art na keys za mansion
skoko

hm hm hm yeah
tan tara taraa
h_art the band, kaskazini, eh

[verse 1]
dua langu la kuku hatimaye limempata mwewe
amenipa nafasi naahidi ntavuka na yeye
natty safi anang’aa
ye ndio maana mi nachuna ka guitar
meno safi tabasamu anipa raha
wanashangaa mbona mi niko ithaa
mishoni zangu tena sifanyi gizani mama
umenibring tu the light
ni ka niko kwa party gesh-ggy na muratina
you make me feel alright
sunday to sunday kamata nikamate
nataka mpaka kwenye mtandao tutangaze
picha kwenye ghafla tukikatana mate
mpaka mahater wakipatepatepate

[pre-chorus]
when it rains
na uko tao
na hukubeba umbrella
just call my name
i’ll dry the place
udhani hata uko mandera
na nikiweza sema ntasema
dunia nzima we ndo napenda
na nikiweza sema ntasema
dunia nzima we ndo napenda

[chorus]
wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention

wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention

[verse 2]
ukweli nilifanya mambo kukupata wewe, sasa wamejaa tu mahaters (haters)
lakini baby stay with me si lazima tuwaskize, nitakupa tu attention (attention)
future iko bright sana baby dunga shades, skiza ngoma zetu kila station (station)
lakini baby stay with me si lazima tuwaskize, nitakupa tu attention (attention)
and, i’ll be there for you no matter what they say or do
and, you’re my kinda flavor umenikunywa you’re my juice

[verse 3]
mpenzi be ready
nitasupply the love
mimi kama pedi
anytime
anywhere
sitasleki
niko seti kukupa all the attention

[verse 4]
oh gosh!!!
i forgot to mention
unanipa ham
pamoja na bacon
kukiwa na noma
we ndo intervention
na sitaki badilisha situation
no! no! no!

[pre-chorus]
when it rains
na uko tao
na hukubeba umbrella
just call my name
i’ll dry the place
udhani hata uko mandera
na nikiweza sema ntasema
dunia nzima we ndo napenda
na nikiweza sema ntasema
dunia nzima we ndo napenda

[chorus]
wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention

wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention

wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention

wanasema nina
p. d. a, p. d. a (eeeh)
p. d. a, p. d. a (woyoyo)
p. d. a, p. d. a
juu ninapea dem attention
(attention)



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...