haitham kim - bandua lyrics
bandua
kina kirefu ndo nshazama
mwenzenu kutoka ndo utata eeh (ndo utataa)
ubongo kichwa kashasaganya aiyee..
kila usemacho nafata eeh (nafwataa)
baby na feel kunoga udambu dambu napendaga
akili ushaikoroga uzandu zandu pizza burger
yani so fire nikikosa alosto nakutaja aiyee..
yani go gaga ushanitandika beto nakuf+ga
yani so fire nikikosa alosto nakutaja aiyee
yani go gaga ushanitandika beto nakuf+ga
bandika bandua (nipe nipe nipe ninogewe)
funika funua (nipe nipe nipe usichelewe)
bandika bandua (nipe nipe nipe ninogewee)
funika funua (nipe nipe nipe usichelewee)
ulinibless ukaniweka mbali na ma boss
nikavimba kwa wako ma shosti
ukiwa mbali nami itanicost ooh my wee (oh na na na)
ukinipa nami ntakupatia kidudu mapenzi ntakugandia
wewe kw+ngu zaidi ya peace nahofia (oh my wee eeeh)
ukinipa nami ntakupatia kidudu mapenzi ntakugandia
wewe kw+ngu zaidi ya peace nahofia (oh my wee eeeh)
unani control control trol control
unani control control control (yei yeeh)
yani so fire nikikosa alosto nakutaja aiyee..
yani go gaga ushanitandika beto nakuf+ga
yani so fire nikikosa alosto nakutaja aiyee
yani go gaga ushanitandika beto nakuf+ga
bandika bandua (nipe nipe nipe ninogewe)
funika funua (nipe nipe nipe usichelewe)
bandika bandua (nipe nipe nipe ninogewee)
funika funua (nipe nipe nipe usichelewee)
Random Lyrics
- your favorite martian - eff this job lyrics
- memus - problem lyrics
- thyrfing - undergångens länkar lyrics
- rubblebucket - earth worship lyrics
- lil wayne - we don't - chopped & screwed lyrics
- hollywood undead - alright lyrics
- kanye west, dj benzi & plain pat - sky high lyrics
- beeyoudee - lancer des fleurs avec le pot lyrics
- hund flow feat.mandasquadmusic - boss lyrics
- prago union - rozcvička lyrics