
happy c - tausi wangu lyrics
[intro]
ooh ayayaya
toti on the beat
[verse 1]
fumba macho usione, nina zawadi nimekuletea
baby no usigome, kama mapenzi basi ongezea
asali yangu nairamba nimalize kibuyu
w+ngu wa ndani nimumunye mi ni wako mahabusu
usinitenge kwenye msoto,kwenye joto nifute jasho
nibembeleze kama mtoto uilinde hadhi yangu
[pre chorus]
wenye husda achana nao
tumejenga kuta ya kutengana nao
wenye husda achana nao
tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah
[chorus]
tausi w+ngu wa pekee [ooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
tausi w+ngu wa pekee [oooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee
[verse 2]
moto umeuzima,siwezi kwenda kwingine
tumekula yamini, mimi na wewe
umenivuruga umenifanya dondocha,siwezi dondoka umenishikilia
mapenzi tamu tamu unanipa naburudika nafarijika mama
[pre chorus]
wenye husda achana nao
tumejenga kuta ya kutengana nao
wenye husda achana nao
tumejenga kuta yeah yeah yeah yeah
[chorus]
tausi w+ngu wa pekee [ooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ei yeah] wa pekee
tausi w+ngu wa pekee [oooh] wa pekee
kipenda roho wa pekee [ah yeah yeah yeah] wa pekee
ooh yeah ooh
[bridge]
simama wakwone jishebeshebedue
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone ringa ringa
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone jishebeshebedue
cheza wakwone wakomeshe
simama wakwone ringa ringa
cheza wakwone wakomeshe
[outro]
sultan 001
they call me happy c yeah
yeah yeah
Random Lyrics
- berry starr - clean lyrics
- the artist l.u.v. - blessings lyrics
- duzoe - pinky promise lyrics
- blackthug - bmsm lyrics
- madonna - hung up (bill hamel remix) lyrics
- cloud 9ine ko - i can tell lyrics
- féfé - mémos #8 lyrics
- nhl reece - hennessy like water lyrics
- tidech - a m a z i n ' lyrics
- nghiia - chuyện hai trái tim lyrics