harmonize - coming home lyrics
[intro]
bomboclaat
[verse 1]
mdogo mdogo tunajikongoja
hazisogei lisaa limoja
najua mchumba unaningoja
mpaka lunch umekula saa moja
kuna bonge la foleni mamaa
hapa nilipo nimesimamaa
kuna bonge la foleni mamaa
hapa nilipo nimesimamaa
[pre+chorus]
au nipande boda na hivi nilivyo
kibonge ongeza vocha
mama mtu tubongee
nimebanabana ili nije nikuhonge
[chorus]
i’m coming home
baby usikae kinyonge
ningojee
na usikate tuongee
ningojee
na usikate tuongee
[bridge]
oooooh uuuuuuhh
uuuuh usinune mchumbaa
oooooh uuuuuuhh
uuuuh usinune mchumbaa
[verse 2]
bae, you know you been waiting for so long
remember i’ve been working for too long
au nipite mwendo kasi
ila sij+pata nafasi
mara k+mi polisi wanichasi
ila nikutulize nafsi my baby
[pre+chorus]
au nipande boda na hivi nilivyo
kibonge ongeza vocha
mama mtu tubongee
nimebanabana ili nije nikuhonge
[chorus]
i’m coming home
baby usikae kinyonge
ningojee
na usikate tuongee
ningojee
na usikate tuongee
[bridge]
mamacita
te quiero mucho, señorita
[verse 3]
hivi unamjua kenny misendo, unamjuaaa
unamjua zaraboy, unamjuaaa
unamjua mzambele, unamjuaaa
unamjuaaa amigo, unamjuaaa
unamjuaaa chopa chaupole, unamjuaaa
unamjuaaa seven, unamjuaaa
mudy mnyama yupo kwenye foleni
hawezi pita hata pembeni
nikifika mnyonge mnyongeni
ila haki yangu uuh uuh
tunda langu uuh uuh
we ndio kipenzi changu uuh uuh
hii ndo hali yangu uuh uuh
[outro]
bomboclaat
mamacita
konde music worldwide
Random Lyrics
- tyne-james organ - all on me lyrics
- zuya & seraphiac - dumdadidoom lyrics
- boy & bear - lost control lyrics
- yakumo gl & cherkasow - лего человечек (lego chelovechek) lyrics
- che ecru - cuban link lyrics
- defekt muzgó - ludzie, ptaki drzewa lyrics
- nastyboyfleezy - where you going don’t leave lyrics
- аври (varyaavry) - пора (it's time) lyrics
- cleserra - freestyle chauve souris lyrics
- molly nilsson - die cry lie lyrics