harmonize - dar es salaam lyrics
[intro]
yow, yow
bomboclaaa+
(alright)
[pre+chorus]
nataka mji (nenda dar es salaama)
sitaki nipeni mji (weh nenda dar es salaama)
masela nataka mji (nenda dar es salaama)
[verse 1]
mh, hilo jiji bwana kuishi ujipange
dada ukitaka gari ni lazima udange
hadi wamaasai wana namba za mange
ama niende mbeya?
tulia atanipokea, ila dar siwezi sogea
kazi kubeti na umbea
arusha, naona kama nitajirusha
(bomboclaaa+)
keramutu ni moshi, vipi mimoshi
[verse 2]
naiwaza sana dodoma
ila moyo bado una goma
mh, au niende kigoma
ama nipelekeni alipo roma
(alright)
ngoja kwanza, wacha niende mwanza
nikale sato kwanza ila mh, mtwara kwanza
eti huko bongo
vitu vidogo, vidogo wanaume wanasusa
kila mwenye kiki kidogo anatembea na baunsa (sh+t)
[chorus]
nataka mji (nenda dar es salaama)
sitaki nipeni mji (weh nenda dar es salaama)
masela nataka mji (nenda dar es salaama)
wanazunguka kwa waganga wakikosa
wanarudi kwa mwamposa
tajiri hanaga makosa
machinga nafasi kakosa
joto la dar, lazima uwe na ac
muda mwingine umeme unakata k+mshinda ray c
kama nitasogea, sogea ni morogoro au songea
wanaume wa dar kwa kuongea, na pa kulala wanagongea
mm, mh
yasikutishe maisha yao ya kwenye tv
buti, jeans na t+shirt, fake louie v
wabongo hawakupi mishe hata kama uwe na cv
ukiacha iringa na njombe, dar pia kuna hiv
vitu vidogo, vidogo wanaume wanasusa
kila mwenye kiki kidogo anatembea na baunsa (sh+t)
nataka mji (nenda dar es salaama)
sitaki nipeni mji (weh nenda dar es salaama)
masela nataka mji (nenda dar es salaama)
Random Lyrics
- anonymous srockerovich - я - сатана (i am satan) lyrics
- flcc - system overlord lyrics
- game over (thrash) - broken trails lyrics
- rl (usa) - lifeline lyrics
- the jolly rogers - botany bay lyrics
- purple kiss (퍼플키스) - intro : concrete jungle lyrics
- confidence man - wrong idea lyrics
- black moth super rainbow - demon's glue lyrics
- šaban šaulić - moja maljanka lyrics
- martin björnsson - sång till naturen lyrics