azlyrics.biz
a b c d e f g h i j k l m n o p q r s t u v w x y z 0 1 2 3 4 5 6 7 8 9 #

harmonize - friend zone lyrics

Loading...

[intro]
yow yow
call me konde boy, number 1
bakhresa
man, i miss my friend

[verse 1 : harmonize]
story za wapenzi wetu tukasimuliana
how to make love tukafundishana
ingali bado wana
tukacheka sana mimi nawe
sasa kuna mtu anasema mi namsema sana
nachok+mbuka tulimsema sana
ingali bado wana
tukacheka sana mimi nawe
pindi bado tupo marafiki
waloshibana kwenye raha na dhiki
alikuwa bonge la shabiki
nyie dunia mbona haitabiriki
i remember them say love is wicked
et leo simu yake siishiki
hata yangu kuna simu hazifiki
bora tungebaki marafiki
basi tena ataniita binamu, kinyama cha hamu
ikabidi ni come come come
oooh alivyiona tamu, kajitoa ufahamu
hataki tena zamu, zamu, zamu
[chorus : harmonize & ibraah]
hataki tena vya zamu
anasema ananipenda
mchezo ameupenda kweli
hataki tena vya zamu
anasеma ananipenda
et amezama kweli
hataki zamu
anasеma ananipenda
mchezo ameupenda kweli
hataki zamu
anasema ananipenda
et amezama kweli

[verse 2 : ibraah]
hakudhani kama tungekuwa wachumba
alijua tu anapita shida, moyo umemdunda
utani utamu umgeuka true love
et anamiss mi hata nimshike mashavu
nilikua namuita best friend
siku hizi nikimuita rafiki hapendi
nilichompa kimemteka, anatekenyeka
ajatekenywa, anacheka
akipiga simu ananiita binamu, kinyama cha hamu
she say baby come come come
oooh ololoo, mbona tamu, kajitoa ufahamu
hataki tena zamu, zamu, zamu
[chorus : harmonize & ibraah]
et hataki zamu
anasema ananipenda
mchezo ameupenda kweli
hataki zamu eeh
et amezama kweli
hataki tena vya zamu
anasema ananipenda
mchezo ameupenda kweli
hataki tena vya zamu
anasema ananipenda
et amezama kweli

[outro]
yow yow
it’s konde boy
call me number 1
bakhresa
konde music worldwide



Random Lyrics

HOT LYRICS

Loading...