harmonize - mdomo lyrics
[intro]
hahaha, jeshi
i really sound crazy [songs by abbah]
chinga
i wanna sing for my lady oh
s+xy lady mmmh
[verse 1: harmonize]
wanaokesha wakiomba tuachane, wanaupaka rangi upepo
ufe nikuzike tuzikane, kesho tukakutane kwa pepo
hasi na chanya tugandane, kisha tuzidishe tempo
bila sita saba na nane, hata k+mi isingekuwepo
tena unavyojisuuza hujikwezi
sio wa kulala buza ushinde mbezi
yani unawaburuza hawakuwezi
umeniteka mama
[pre chorus]
watoto wa mombasa huko kenya,wanaitamani ndizi ya k+menya
wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
akina carry mastory wanakusengenya,na vile huwajibu wanajitekenya
na ulivyo na sifa unanipa tena,yani mpaka asubuhi
[hook]
kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo
yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo
[verse 2: ibraah}
mmmmmh yeah
oh baby i don’t evеn understand
nahisi kama umenifanyia limbwata
ila ndo mapenzi sishangai
yеah
my baby, i don’t want a one night stand
mi kwako chizi nishadata, nitakupenda till i die
maana unanipa mawenge [ngengenge]
mara vichwa mara mwenge [ngengenge]
kaja gym na kite [tengenge]
ilimradi uchokozi
aah onananana
macho yanatazama mbingu, na mikono ushafunga na pingu
kibaridi huko nje kuna wingu, mi namwa mwagaga machozi
[pre chorus: harmonize]
watoto wa mombasa huko kenya,wanaitamani ndizi ya k+menya
wanajiuliza vipi umepenya, mpaka tembo hapindui
akina carry mastory wanakusengenya,na vile huwajibu wanajitekenya
na ulivyo na sifa unanipa tena,yani mpaka asubuhi
[hook]
kifupi umeniziba mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo
yani baby umeniziba mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo mdo mdomo
mdo
[outro: ibraah]
anataka niteleze kwa ute [hana ubaya]
nikitapika nisifute [hana ubaya]
ananifanya nisijute [hana ubaya]
hana
[harmonize]
say
chumbani nikukute [hana ubaya]
na ganja mbili tuvute [hana ubaya]
na vumbi la congo ulifute [hana ubaya]
hana
[the mix k!ller]
kondeboy call me number one
chinga yes number one
number one
hehe
Random Lyrics
- hulvey - bussin lyrics
- steve flanigan - stand and fight lyrics
- vundabar - devil for the fire lyrics
- lovesiq - demon mode lyrics
- נועם צוריאלי - greta - גרטה - noam tsuriely lyrics
- southern woods cult - rabbit's foot lyrics
- edavārdi - daudz laba lyrics
- killer dwarfs - out in the streets lyrics
- mimikry - röda fanor - live lyrics
- isidore - the privateer lyrics