harmonize - mtaje lyrics
[intro]
big boy
(instrumentals)
mmm
mmm
[verse 1]
ana ka sura ka upole
miaka nenda rudi hazeeki
tena ni mtu wa gym, gym
shepu ndio linanipa wazimu, zimu
na tattoo nimchore
ila’ ndio hivyo tena, hapendeki
ama kweli mapenzi hayana mwalimu
wengine hata kuniona ni adimu
hivi tuseme ana ngekewa
ama nyota yake kali ananizidi
ama mjini nimechelewa
mbona wengine wanamponda wanamuita bibi
nilianza k+muona mapema
enzi za mabanda ya sinema
alikuaga ni rafiki na wema
she’s so cute
[hook]
acha wanione mshamba tu
tuta huwezi kulipigia honi
umri nao ni number tu
kinachoniuma anajifanya haoni
[chorus]
kama unamjua (mtaje)
nani anaye mjua? (mtaje)
kama unamjua (mtaje)
avimbe kichwa, ajisifie
basi, kama unamjua (mtaje)
kama unamjua (mtaje)
kama unamjua (mtaje)
avimbe kichwa, ajisifie
mm+mmmh
[verse 2]
anaye lenga kwa ruler
siku zote ndo apataye
mwambieni mwanangu paula
mi nampenda mamae
tena ni fundi wa kuchanua, aah
utasema samaki ng’onda
hapo ndio nikagundua, ah
nini kiliwaliza makonda
wa dala, dala, dala
mi nashindwa kulala, lala, lala
hana mbadala, dala, dala
anaitwa ka+, ka+, eh
hakika ye ndio kiboko yangu
jua likiwaka, ikinyesha
utembo na ujeshi w+ngu
getini kwake nilikesha
mtihani wa mapenzi hakuna aliye fuzu
sawa na unywe pombe na useme una udhu
na mtu ukishapenda unakuwa zuzu
eti nawaza aje kuwa mama zuzu
[post+chorus]
kama unamjua (mtaje)
kama unamjua (mtaje)
kama unamju+, (mtaje)
avimbe kichwa, ajisifie
[outro]
eh, big boy na migo wanamjua
cha upole anamjua
uncle duke naye anamjua
[saraboy] na chengo wanamjua
hadi sekela wa mipango anamjua
big poppa, mtambele wanamjua, ah
eh, eeh+eeh
Random Lyrics
- julian saunders - the lonely mountain man lyrics
- lime garden - mother lyrics
- ryan robinette - somewhere in savannah lyrics
- bella dain - sedate me lyrics
- peewee longway & lolife blacc - james harden lyrics
- ttsparkles - lie lyrics
- crystal voices - money fever lyrics
- confused - black world lyrics
- andreas - aura lyrics
- bigbabygucci - insane lyrics